Video: Kiwango cha uharibifu wa miundombinu Kaskazini mwa Gaza

Ukitaka wafanyaje mkuu?
Kwani hakuna namna Hamas wanaweza fanya vita iishe? Au mnaona sifa tu ,kusifiana sijui Hamas wameua mashoga, sijui wayahudi waoga. Hamasi waachie mateka waache kuweka mashart.
Watu wanapoteza mali,watu wanakufa, watoto wanakufa ,wao hamas.wapo mashimoni!
Basi kama ndo kuonyesha ujasiri kwa namna hiyo wache mayahudi wawaue. Lakini naamini hamasi wanaweza kufanya jambo hii vita ikaisha watoto wa kipalestina wakawa salama.

Inaonekana hujui nini unaongea ndugu yangu! Ila acha nikupe kitu kidogo.

1. Hamas ilianzishwa mwaka 1988, moja ya lengo lake ni kuizuia Israel isiendelee kuichukua ardhi Palestina hasa ukanda wa Gaza.

Mwaka 1971 nyaraka za siri zilivuja zikionesha Israel ilikuwa na mpango wa kuwafukuza wananchi wote wa Kipalestina wanaoishi Gaza ili kuwapeleka Penusula ya Sinai iliyoko Misri.

Ushahidi wa hii taarifa upo BBC.
Screenshot_2023-11-01-20-59-06-31_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Utakumbuka wakati Israel inaanza Operation yake baada ga shambulio ya October 7 ziko taarifa zilizokuwa zinasema Netanyahu amekuwa akiongea na Misri ili Misri ikubali kupokea wakimbizi wa Gaza?

Unahisi kwanini kuna matamko kama haya zaidi ya ma5 yashatoka tangiaOctober 7?
Screenshot_2023-12-02-22-09-10-53_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg

Basi jua unayoyaona sasa hayajatokea kwa bahati mbaya ila yalipangwa miaka kenda huko nyuma ila kilichokabaki ni utekelezaji bila kuja HAMAS yupo au Hayupo.
 
Inaonekana hujui nini unaongea ndugu yangu! Ila acha nikupe kitu kidogo.

1. Hamas ilianzishwa mwaka 1988, moja ya lengo lake ni kuizuia Israel isiendelee kuichukua ardhi Palestina hasa ukanda wa Gaza.

Mwaka 1971 nyaraka za siri zilivuja zikionesha Israel ilikuwa na mpango wa kuwafukuza wananchi wote wa Kipalestina wanaoishi Gaza ili kuwapeleka Penusula ya Sinai iliyoko Misri.

Ushahidi wa hii taarifa upo BBC.
View attachment 2831724
Utakumbuka wakati Israel inaanza Operation yake baada ga shambulio ya October 7 ziko taarifa zilizokuwa zinasema Netanyahu amekuwa akiongea na Misri ili Misri ikubali kupokea wakimbizi wa Gaza?

Unahisi kwanini kuna matamko kama haya zaidi ya ma5 yashatoka tangiaOctober 7?
View attachment 2831730
Basi jua unayoyaona sasa hayajatokea kwa bahati mbaya ila yalipangwa miaka kenda huko nyuma ila kilichokabaki ni utekelezaji bila kuja HAMAS yupo au Hayupo.
Ndefu sana na boring kusoma.
 
Back
Top Bottom