Hamas: Israel wamekataa ofa yetu ya kubadilishana wafungwa wa Kipalestina na miili ya wanajeshi wao tuliowaua vitani!

Hawa wafuasi wa Allah kumbe akili zao ni mfu namna hii?

Ngoja waendelee kupelekewa moto
⚡️Hamas ilichapisha ujumbe unaoonekana wa mfungwa wa Kizayuni Yarden Bibas, ambaye mke wake, Sherry, na watoto wake wawili, Kfir na Ariel, waliuawa na mashambulizi ya mabomu.

Yarden analalamika kwa Netanyahu. Upinzani ulijitolea kukabidhi miili hiyo mitatu, lakini israeli ilikataa kuipokea.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    1.4 MB
️Hamas ilichapisha ujumbe unaoonekana wa mfungwa wa Kizayuni Yarden Bibas, ambaye mke wake, Sherry, na watoto wake wawili, Kfir na Ariel, waliuawa na mashambulizi ya mabomu.

Yarden analalamika kwa Netanyahu. Upinzani ulijitolea kukabidhi miili hiyo mitatu, lakini israeli ilikataa kuipokea.
Maiti ina faida gani sasa?
 
Ila ukiwa mfuasi wa shehe Ponda ndio unakuwa na akili sana
Tena sana maana huwezi kununua mchanga na chumvi ya upako kwa laki 2 ukiamini itakufanya uwe tajiri bila ya kufanya kazi.

Huwezi kuwa na akili alafu ukaamini mtu aina ya jiwe aliye kuwa anateka watu na kuuwa eti alikuwa shujaa.

Huwezi kuwa na akili ukashabikia mauaji ya watoto wadogo wasio na hatia kiufupi ww ni takataka.
 
Mtu mwenye akili hawezi kumsema magufuli.ni vichaa tu wa upinzani ambao wameshindwa kukijenga chama chao sasa hawana kazi.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Tena sana maana huwezi kununua mchanga na chumvi ya upako kwa laki 2 ukiamini itakufanya uwe tajiri bila ya kufanya kazi.

Huwezi kuwa na akili alafu ukaamini mtu aina ya jiwe aliye kuwa anateka watu na kuuwa eti alikuwa shujaa.

Huwezi kuwa na akili ukashabikia mauaji ya watoto wadogo wasio na hatia kiufupi ww ni takataka.
Mfuasi wa munyazimungu umepanic!

Jilipue ili uwahi mabikra 72
 
⚡️Hamas ilichapisha ujumbe unaoonekana wa mfungwa wa Kizayuni Yarden Bibas, ambaye mke wake, Sherry, na watoto wake wawili, Kfir na Ariel, waliuawa na mashambulizi ya mabomu.

Yarden analalamika kwa Netanyahu. Upinzani ulijitolea kukabidhi miili hiyo mitatu, lakini israeli ilikataa kuipokea.
Upinzani ndio nani?
 
Hiyo taarifa ni zaidi ya mabomu yote yaliyopigwa Gaza.
Organization ya Hamas itakumbukwa kwa miaka nyingi.
Nidhamu ya hali ya juu katika mazungumzo na kubadilishana wafungwa.Utadhani wana mtandao wao wa pekee wa kufanyia mawasiliano.
Usicheze na akili binadadamu aliyedhulumiwa.
 
Back
Top Bottom