Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,183
- 10,913
Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv.
Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo jana desemba 2,yameweza kupiga maeneo ya katikati ya Tel Aviv na kuleta madhara.
Blila kuweka wazi kiwango cha hasara kilichopata Israel kutokana na makombora hayo imekiri kwamba Iron dome zilishindwa kuyaangamiza hewani makombora hayo ya Hamas kutokana na hitilafu zilizotokea kwenye mfumo wa Iron dome.
Kutokana na matukio hayo ya makombora kufika Tel Aviv bila kizuizi Israel imesema itafanya uchunguzi kubaini kasoro hizo.
Unaweza ukaangalia kwenye video hapo chini jinsi Iron Dome ilivyoshindwa kazi.Kombora kutoka Iron dome likikaribia roketi la Hamas linashindwa kulisogelea na kupinda kurudi ardhini kuachia kombora la Hamas lipige kwenye lengo lake..Matokeo yake kombora la Hamas likapiga na Iron dome nayo ikapiga mfano wa kujifunga goli mwenyewe mara mbili.