International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa...
2 Reactions
12 Replies
313 Views
sacred principle Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu congratulated #US President Donald Trump on the rescue of an American airman from #Iran, while Iran's military said several US aircraft...
1 Reactions
2 Replies
163 Views
Unapo ona taifa lolote limeanza kupiga Energy Infrastructure, Bridges, kiujumla miundombinu ujuwe limeisha zidiwa au yamezidiwa. Ukifatilia hi vita tokea mwanzo wao wakipiga civilian target Iran...
3 Reactions
9 Replies
285 Views
Milipuko kadhaa imeripotiwa kutokea katika Kisiwa cha Kharg nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la nusu rasmi la Mehr. Kisiwa cha Kharg, kilichopo kwenye pwani ya magharibi ya Iran...
3 Reactions
14 Replies
415 Views
Polisi wahukumiwa kunyongwa India. Katika uamuzi wa kihistoria, Mheshimiwa Jaji wa Kwanza wa Mahakama ya Wilaya ya Madurai, G Muthukumaran, ametoa hukumu ya kifo kwa polisi wote tisa katika kesi...
3 Reactions
3 Replies
197 Views
Flat Earthers amkeni mshuhudie mwezi . History in the making! 🌕 Netflix is livestreaming NASA’s Artemis II lunar flyby today, the first time humans have flown around the Moon since Apollo 17...
3 Reactions
3 Replies
210 Views
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli...
5 Reactions
35 Replies
799 Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfuta kazi Spika wa Bunge la nchi hiyo, Jemma Nunu Kumba pamoja na Naibu wake, Permena Awerial Aluong, kupitia amri iliyosomwa bungeni Jumanne. Tangazo hilo...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
Kitambulisho cha Mwokoaji wa Pambano cha Evader kiliwezesha ufuatiliaji salama, wa wakati halisi katika eneo la adui. Uokoaji uliofaulu wa rubani wa ndege ya kivita ya Marekani aina ya F-15E...
2 Reactions
1 Replies
143 Views
Ni ugunduzi wa muda kidogo. Namibia wamegundua karibu mapipa 11bilioni. Ni akiba ya tatu kwa ukubwa Afrika baada ya Libya na Nigeria. Mafuta hayo yamepatikana baharini na yanafika hadi South...
7 Reactions
19 Replies
314 Views
Waziri huyo wa ulinzi wa Marekani amesema kuwa vikosi vya Marekani vitafanya mashambulizi mengi zaidi dhidi ya Iran leo kuliko siku nyingine yoyote tangu vita vilipoanza, huku mipango ikiwa ni...
2 Reactions
2 Replies
212 Views
Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi. Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba...
3 Reactions
27 Replies
723 Views
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo. Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji. Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano...
10 Reactions
64 Replies
996 Views
Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country. . Iran’s foreign ministry...
2 Reactions
9 Replies
328 Views
Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita...
3 Reactions
9 Replies
256 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amezungumzia hali ya mvutano na changamoto za kiusalama zinazohusisha Iran akisisitiza ugumu wa kuingia katika mifumo ya Nchi hiyo kutokana na uimara wake wa kijeshi...
5 Reactions
7 Replies
279 Views
Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu...
1 Reactions
2 Replies
155 Views
Wanaukumbi. Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭 Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇 🇰🇷 Korea Kusini...
3 Reactions
36 Replies
459 Views
Ndege ya MC‑130J iliyotumika kumuokoa mwanajeshi wa anga wa Marekani wa pili iligharimu zaidi ya dola milioni 100 (sawa na paundi milioni 77) kila moja, kulingana na Air Force Special Operations...
2 Reactions
10 Replies
248 Views
Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili...
2 Reactions
6 Replies
244 Views
Back
Top Bottom