Baada ya kuuawa kwa kiongozi wa muda mrefu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei kufuatia mashambulizi ya anga, uongozi mpya ulitangazwa rasmi ambapo mwanawe, Mojtaba Khamenei aliteuliwa kuchukua nafasi...
Habari wandugu....
Nafikiri wa kuona wameona na wakujifunza wamejifunza kuhusu vita ,vita ni nini tuanzie hapo kwanza. Vita ni matokeo ya pande mbili tofauti kujenga uadui na chuki ndani ya mioyo...
Wakuu,
Kabla ya Korea Kaskazini kufyatua makombora leo, siku kadhaa nyumba Lee aliwaomba msamaha kwa kupandisha drone kwenye angal la Korea Kaskazini.
Inavyoonekana Kim anataka sana ugomvi...
Mjadala wenye hekima Mashia wamesimama wao wenyewe hawakuwa na hofu yeyote na wameusimamia vema Uislamu dhidi ya maadui wa Uislamu. Karibuni wenye elimu na wanazuoni mtujuze. Je MASHIA NI WAISLAMU?
Naona America kajitahidi kwa kutumia pressure kwa nchi hizi Oman, Egypt, Pakistan na Turkey na nchi za Europe wamuambie Iran dunia inapata tabu sana akubali kusimamisha vita kama 1st step ili...
Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili:
---
🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz
---
🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kuwa Iran itakubali kusitisha mapigano na Marekani “ikiwa mashambulizi dhidi ya Iran yatasitishwa”.
Aliongeza kusema kuwa “kwa kipindi...
Pamoja na kwamba niko upande wa Israel, na kwamba napenda sana kuona ugaidi wa dini ya muarabu ukiangamizwa, ila kwenye hili Marekani walichotaka kukifanya pale Iran, nilikua siafiki kabisa...
Kwa namna Donald Trump alivyotishia kushusha kiama Iran na namna alivyoufyata, Irani wanazidi kupata ushindi hata bila kupigana wala kujibu maneno yake.
Breaking news ni kwamba Trump ametoa wiki...
Niaje waungwana
Habari ndio hiyo waungwana. Hii ni baada ya kuona Iran haitishiki na vitisho vyake, wala mikwara yake.
So kaamua bora nusu shari, kuliko shari kamili. Big up Iran.. Kwa sasa...
Kauli ya mwisho ya Rais Trump kwa Tehran inaisha saa 2:00 PM saa za Washington (saa 3:30 AM saa za Iran, saa 3:00 Tanzania) usiku wa leo, ikiacha chini ya saa 10 tu. Tarehe ya mwisho, iliyowekwa...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amethibitisha kuuawa kwa maafisa wawili wakuu ambao walikuwa wakitafutwa kwa muda mrefu kutokana na kuhusika kwao na vitendo vya kigaidi duniani.
Kuuawa...
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize...
Vyombo vya habari vya Iran vinaripoti kuwa kamanda wa Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), Mohsen Shahavand, ameuawa katika mji wa Andimeshk, ulioko kaskazini mwa Ahvaz.
Tukio hilo...
Hii si mara ya kwanza kwa Wairani kukumbana na vitisho kama kile kilichotolewa na Israel kuhusu mfumo wao wa Reli.
Lakini hilo halimaanishi kwamba Wairani hawatachukulia kwa uzito. Vitisho kama...
FBI imeonya idara za polisi huko California kwamba Iran inaweza kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani kwa kurusha ndege zisizo na rubani katika Pwani ya Magharibi ya Marekani, ABC News...
Asante Yesu Mungu kwa zawadi murua ya Pasaka mwaka huu kwa kutunukia ubinadamu.
Pia shukrani za dhati ziwaendee Trump na Netanyahu. Isitoshe asante sana taifa teule na wateule kwa ujumla kupitia...
Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo.
Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.