Nchi ya Namibia imegundua hazina kubwa ya mafuta

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,843
Reaction score
21,094
Ni ugunduzi wa muda kidogo. Namibia wamegundua karibu mapipa 11bilioni. Ni akiba ya tatu kwa ukubwa Afrika baada ya Libya na Nigeria.

Mafuta hayo yamepatikana baharini na yanafika hadi South Africa ambayo nayo inakadiriwa kuwa na mafuta kama mapipa bilioni.
 
Kila nchi Afrika ina rasilimali yake, tatizo ni namna zinavyotumika.
 
Nilisikia Tanzania kuna mafuta pia, sijui iliishia wap
 
Ni ugunduzi wa muda kidogo. Namibia wamegundua karibu mapipa 11bilioni. Ni akiba ya tatu kwa ukubwa Afrika baada ya Libya na Nigeria.

Mafuta hayo yamepatikana baharini na yanafika hadi South Africa ambayo nayo inakadiriwa kuwa na mafuta kama mapipa bilioni.
Yamepata nchi yenye democracy and rule of law, wengi watafaidika, kwetu naomba yasije kabisa
 
Bara la Afrika raslimali ni kipimo cha subira za viongozi na watu wake.
Mungu awajaalie wasifike hatua ya kupigana.
 
Umekosea sana kuandika hapa,Wamarekani watakuja kuyachukua.
Shida ya Marekani sio mafuta kama watu wa vijiweni wanavyopakazia kwani kumbe hata mashariki ya kati wanachukua mafuta kiduchu sana kama asilimia 2-2.5 tu tofauti kabisa na watu wanavyopotosha.

Kwa sasa Marekani ndio nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa mafuta kitu ambacho pia watu wengi hawafahamu.

Shida ya Afrika siku zote ni uongozi tu na hayo mengine waga ni visingizio tu vinavyoletwa na mafisadi na machawa wao wanaonufaika na ufisadi huo.

Kama watu wanaibia taifa lao halafu unakuta rais kabisa anasema CAG "awataje ili waone aibu" kweli uongozi uko wapi hapo.😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Ni ugunduzi wa muda kidogo. Namibia wamegundua karibu mapipa 11bilioni. Ni akiba ya tatu kwa ukubwa Afrika baada ya Libya na Nigeria.

Mafuta hayo yamepatikana baharini na yanafika hadi South Africa ambayo nayo inakadiriwa kuwa na mafuta kama mapipa bilioni.
Na hapa kwetu wakiendelea kupimapima watagundua kipande hiki cha kuelekea Zenji chini ya bahari kuna mafuta km mapipa 1000 billion nadhani hapo tutaelewana vizuri tufukue bahari chini kupata mafuta si ndio dunia bado ina malighafi za kutosha kila sehemu
 
Back
Top Bottom