International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Zimbabwe today introduces a new series of ZiG banknotes — in denominations of 10, 20, and 50 — with citizens expected to queue outside banks nationwide to access the notes for the first time...
1 Reactions
1 Replies
185 Views
Taarifa ya jeshi la Israel muda huuIsrael warns Iranians to avoid trains nationwide, IDF says The Israeli military warned Iranians on Tuesday to avoid using trains and railways across the country...
3 Reactions
1 Replies
120 Views
Jeshi la Israel limetoa tahadhari likiwaonya wananchi wa Iran wasitumie treni hadi saa 3 usiku kwa saa za Iran. “Uwepo wenu ndani ya treni au karibu na reli unaweka maisha yenu hatarini,” jeshi...
2 Reactions
1 Replies
118 Views
Waandishi wa Al Jazeera wanaripoti kuwa kuna wimbi jipya la mashambulizi, huku ndege za kivita zikionekana zikizunguka angani juu ya mji mkuu wa Iran, Tehran. Angalau milipuko mitatu mikubwa...
1 Reactions
6 Replies
254 Views
Mtu mmoja ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia majibizano ya risasi na polisi karibu na ubalozi mdogo wa Israel mjini Istanbul, gavana wa jiji hilo amesema, akiongeza kuwa maafisa wawili...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Kumbuka Ni kuanzia saa 1 usiku wa leo kwa saa za Afrika mashariki na hii ni kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali
5 Reactions
17 Replies
363 Views
  • Redirect
Iran imeishiwa hadi inataka kutumia wananchi kama ngao, namna HAMAS walikua wanafanya.... The post came hours before an Iranian official urged young people to form human chains around the...
1 Reactions
Replies
Views
Kinaitwa CSEL kinatuma meseji pekee ambazo ziko encrypted na inatumia signals ambazo adui yeye kwake huzipokea kama kelele. Kimeunganishwa kimtandao pekee na ofisi ya uendeshaji.
20 Reactions
51 Replies
1K Views
baada Trump kushindwa kuwaingiza Vitani washirika wa Ulaya na kuwakosoa Marais wa Ulaya NATO wamemcharukia Trump na kumpa za uso 📞Trump (screaming): “Emmanuel! Giorgia! You cowards! Strait of...
7 Reactions
28 Replies
738 Views
Tuliwaaambia Iran 🇮🇷 sio Gaza wala sio Venezuela mkabisha hususan bwabwa la mayahudi Echolima1, haya sasa oneni maafa haya!!!!
12 Reactions
33 Replies
903 Views
https://www.instagram.com/p/DWwlwwIjMM6/?igsh=MTR6eXB4MHVndWRqNQ==
1 Reactions
3 Replies
191 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa vita ya Marekani dhidi ya Iran inaendelea vizuri, na kwamba majeshi ya Marekani yanaweza “kuifuta kabisa” nchi hiyo ndani ya usiku mmoja. “Nchi nzima...
8 Reactions
37 Replies
599 Views
JICHO LA MOSSAD Mwaka jana Wayahudi walipost hii picha na wakatimiza mwaka huu. Ni dhihirisho kwamba viongozi wa Tehran wanatembea na jicho la Mossad. Na mfumo wa usalama wa viongozi wa Iran...
4 Reactions
15 Replies
342 Views
Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa...
3 Reactions
13 Replies
408 Views
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani. Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha...
10 Reactions
20 Replies
491 Views
Msomaji mashuhuri wa Qur’an na mhubiri kutoka Kuwait, Mishary Rashid Alafasy, amezungumza hadharani kufuatia kile alichokitaja kuwa ni kampeni maalum inayolenga kumchafua jina lake kimataifa...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Muafrika na demokrasia ni kama maji na mafuta. Hio ni kwa sababu mtu mweusi ni mbinafsi, mwenye dharau, amekosa utu na mwenye kulewa na madaraka. Niliwahi kuleta uzi kuww ipo siku mwamba...
6 Reactions
13 Replies
489 Views
Serikali ya Somalia imesema imefuta makubaliano yote iliyoingia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ikitaja kile ilichokiita tabia ya umoja huo kudhoofisha uhuru na umoja wa nchi hiyo. Taarifa ya...
10 Reactions
32 Replies
955 Views
Back
Top Bottom