International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza siku ya Jumatano kuwa meli na ndege za kivita za nchi hiyo zitaendelea kuweka kambi karibu na Iran. Ametishia kuwa Marekani itaanza "kufyatua risasi"...
3 Reactions
6 Replies
331 Views
The management of Yobe State University has clarified the circumstances surrounding a viral photograph showing some students sleeping outdoors within the institution’s premises. In a statement...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa...
0 Reactions
1 Replies
152 Views
Wanaukumbi. Iran ilisema mapema Jumatano kwamba Marekani "kimsingi" imekubali pendekezo la pointi 10 linalolenga kukomesha vita, kulingana na ripoti za mtandao wa Utangazaji wa Jamhuri ya...
5 Reactions
87 Replies
1K Views
Mamlaka zimetangaza likizo ya ndani katika miji ya Rawalpindi na Islamabad kwa tarehe 9 na 10 Aprili, na kuagiza kufungwa kwa shule zote pamoja na ofisi katika kipindi hicho cha siku mbili. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
172 Views
Magaidi wa IRGC sasa wachague kati ya kukaa na rubani waliyemteka au wamuachie huru. https://www.instagram.com/p/DWtuFn-DnnS/?igsh=c3NoNmVhNmlmcjZt
2 Reactions
86 Replies
1K Views
Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea Bahari ya Japani asubuhi ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Wakuu wa Majeshi ya Korea Kusini. Makombora...
0 Reactions
5 Replies
399 Views
Ndani ya dakika 10 na katika maeneo mengi kwa wakati mmoja, IDF ilikamilisha shambulio kubwa zaidi lililoratibiwa tangu kuanza kwa Operesheni ya Roaring Lion, ikilenga zaidi ya vituo 100 vya amri...
1 Reactions
9 Replies
277 Views
Serikali ya Iran na vyombo vya habari vya taifa hilo, vinasema kuwa makubaliano ya kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo. Katika taarifa iliyotolewa na...
1 Reactions
7 Replies
295 Views
Hamjambo! Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
Sheikh aliyekuwa anawasomea dua Hezbollah Sadek Nabulsi naye aliangamizwa katika shambulio la Israeli kwenye eneo la Al-Zahraa huko Sidon leo asubuhi!! Nawaomba tu Magaidi wa Hezboullah watafute...
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni...
4 Reactions
20 Replies
647 Views
“Hakutakuwa na makubaliano yoyote na Iran isipokuwa kujisalimu amri bila masharti (UNCONDITIONAL SURRENDER). Baada ya hapo, na baada ya kuchaguliwa kwa kiongozi au viongozi bora na wanaokubalika...
3 Reactions
9 Replies
261 Views
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) has issued a stern warning to members of the public against taking photographs or videos of road traffic accident victims, urging citizens to prioritise saving...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Zimbabwe’s Human Rights Commission (ZHRC) has raised serious concerns over reports of intimidation and restricted participation during nationwide public hearings on the Constitution Amendment Bill...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
  • Redirect
Sheikhe Mohamed Sobrin ni kati ya Masheikhe wanaowahamasisha magaidi kufanya ugaidi wako kwa kuwaaminisha kuwa hata wakifa huko Peponi watakabidhiwa mabikira 72 wa kuwabikiri. IDF sasa imeamua...
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya Rais Trump kuweka wazi kuwa ataanza kubomoa kila daraja, mtambo wa umeme, na kiwanda cha kusafisha mafuta ikiwa Hormuz haitafunguliwa, Iran ilianza kutumia mkakati wa "Human Shields"...
0 Reactions
4 Replies
164 Views
https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia...
1 Reactions
9 Replies
238 Views
Kabla tu ya kusitisha mapigano, Brigedia Jenerali wa Iran Haj Yazdan Mir-Safari, kamanda wa Kikosi cha Quds, aliangamizwa yeye pamoja na familia yake yote mjini Tehran tarehe Machi 6, 2025...
1 Reactions
12 Replies
227 Views
Katika hotuba yake ya hivi karibuni, Reza Pahlavi ametoa ujumbe mzito akililenga Jeshi la Iran, akiwataka kusimama na kulinda taifa badala ya kubaki kimya. Pahlavi aliwakumbusha wanajeshi hao...
0 Reactions
9 Replies
225 Views
Back
Top Bottom