International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

One Texas Secessionist Who Fled Into Mountains Is Killed A member of the militant secessionist group known as the Republic of Texas was shot and killed today in a gun battle with the Texas...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Most dangerous evil in the world, Warmonger Victoria Nuland has arrived in Kiev.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kufuatia taarifa kuwa UNRWA, taasisi ya Umoja wa Mataifa inayowasaidia wakimbizi wa Palestina, kushiriki kwenye shambulio la Hamas dhidi ya Israel, idadi ya mataifa yaliyoamua kusimamisha misaada...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani. Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa. TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu. Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi. Hizi ndo picha za vijana wadogo waliouwawa Jordan na suicide drones za magaidi wa Iran. Wote ni watatu ni Black Americans. Picha za Kwanza ni Kennedy Ladon Sanders miaka 24...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima...
2 Reactions
6 Replies
679 Views
Huku kukiwa na mzozo wa kikabila nyumbani, jumuiya ndogo kaskazini-mashariki mwa India inajaribu kuhamia Israel, ambako wanasema mizizi yao ni uongo. --- Aizawl, India – Joseph Haokip, an...
1 Reactions
4 Replies
981 Views
Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira.... GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa picha: Mazishi ya Wapalestina 3 waliouawa kwa kupigwa risasi na jeshi la Israel huko Jenin Duru za kimatibabu za Palestina zimesema kuwa kikosi maalumu cha Israel kimewaua Wapalestina watatu...
4 Reactions
91 Replies
5K Views
Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23 Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki.. Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Serikali ya Nigeria imesema Jumanne kwamba watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi sita na walimu watatu kutoka shule moja katika jimbo la Kusini Magharibi la Ekiti usiku wa Jumatatu, hii...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nadhani hii ndio strateji sahihi. Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…