Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,559
- 41,075
Kufuatia taarifa kuwa UNRWA, taasisi ya Umoja wa Mataifa inayowasaidia wakimbizi wa Palestina, kushiriki kwenye shambulio la Hamas dhidi ya Israel, idadi ya mataifa yaliyoamua kusimamisha misaada kwa UNRWA, inazidi kuongezeka.
Nchi ya kwanza kutangaza kusimamisha msaada kwa UNRWA ilikuwa USA. Na ndani ya masaa 24, mataifa mengine, Canada, Australia, Italy na Uingereza, nayo yametangaza kusitisha michango yao kwa UNRWA. Haya, tayari ni mataifa 5, na huenda idadi ya mataifa yatakayofuata hatua ya mataifa haya, ikazidi kuongezeka.
Wakati huo huo, mkurugenzi mkuu wa UNRWA, ameanza kuchukua hatua ya kuwafuta kazi wafanyakazi ambao tayari wametajwa kushiriki kwenye shambulio hilo la kigaidi la Hamas dhidi ya Israel.
Hii inazidi kudhirisha tuhuma za awali kuwa misaada mingi ambayo imekuwa ikitolewa na nchi za Magharibi kuwasiaidia wananchi wa Palestina, Hamas imekuwa ikiitumia misaada hiyo kujenga nguvu za kuishambulia Israel badala ya kuwapa unafuu wa maisha Wapalestina.
Hali hii itawafanya Wapalestina kukumbana na magumu mengi hata baada ya vita kwa sababu bila shaka misaada ya nchi za Magharibi itapungua sana, huku ikijulikana wazi namna mataifa ya Kiarabu yalivyo na unafiki mkubwa. Wanajifanya wanawapenda wapalestina, lakini pamoja na utajiri wao utokanao na mafuta, mataifa hayo huwa yapo nyuma sana kuwasaidia Waarabu wenzao.
Ule msemo wa akufaaye wakati wa dhiki ndiyo rafiki, unadhihirisha wazi kuwa Waarabu siyo marafiki wa kweli wa Waarabu wa Palestina.
UK. It is the fifth country to announce a suspension in funding to UNRWA in 24 ho announcements from the U.S., Canada, Australia and Italy.
UPDATE:
Mpaka sasa, mataifa yaliyoungana na US, Canada, Australia na Italy, ni pamoja na UK, Finland, Germany, Switzerland, Japan, European Union, France, Austria, Iceland, Romania, Estonia na Netherlands.
"Switzerland has zero tolerance for any support for terrorism and any incitement to hatred or violence," the ministry wrote, adding that the country "expects the same" from its partners."