Jamaa wamesema bora waishe wote ila no surrender to Russian.Should the Armed Forces of Ukraine expect more cookies from Nuland?View attachment 2890069View attachment 2890070
Mbona kama Wanajeshi wao wote ni Wazee. Vijana hamna huko.Should the Armed Forces of Ukraine expect more cookies from Nuland?View attachment 2890069View attachment 2890070
na advantage ya Ukraine anaeza shikamana na ulaya kusimama ila Urusi anajaribu kuiteka afrika iwe kiinua mgongo wake ila atamkuta China huku so lzm kiumaneHawawezi kuisha hata iweje, ukiona bado wanapigana ujue nguvu bado wanayo, wangekuwa wameisha wasingeendelea na mapambano, ambavyo Ukraine hakusalimu kipindi cha Wegner kwa sasa hawezi kusarenda, hata Russia ameshajichokea ni siri yake, inapigana vita na huku una kikwazo, Ukraine anatamani vita viishe, Rusia anatamani vita iishe , baada ya vita uchumi wa Russia utakuwa umerudi nyuma zaidi ya miaka 10