Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu...
Zimbabwe and Botswana have agreed in principle to allow their citizens to cross between the two countries using national identity cards instead of passports, in a move aimed at easing movement of...
Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya...
Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika.
Bei zimepanda kwa takribani...
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES
Maelezo ya picha, Edgar Lungu alisema hataki mrithi wake kwenye mazishi yake au "popote karibu" na mwili wake
Mahakama ya Afrika Kusini imetoa amri ya kuurudisha...
Panama ililaani "kukamatwa kinyume cha sheria" kwa meli ya MSC Francesca baada ya kuchukuliwa na Iran ilipokuwa ikisafiri karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz. Meli hiyo, iliyokuwa ikipeperusha...
Mwana mfalme wa Iran aliye uhamishoni, Reza Pahlavi, amemwagiwa majimaji mekundu Alhamisi wakati akitoka kwenye jengo moja mjini Berlin.
Pahlavi alikuwa ndiyo kwanza ametoka kwenye mkutano na...
Serikali ya Uingereza imethibitisha kuwa taarifa za kiafya za watu 500,000 waliojitolea kwenye mradi mkubwa wa utafiti (UK Biobank) ziliwekwa sokoni kwa ajili ya kuuzwa kupitia mtandao wa Alibaba...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameliamuru Jeshi la Majini "kupiga na kuua" boti zozote za Iran zinazotega mabomu katika Mlango-bahari wa Hormuz.
Mazungumzaji mkuu wa Iran amesema kuwa Tehran...
Maelezo ya picha,John Phelan akiwa na Donald Trump
Katibu wa Jeshi la Wanamaji la Marekani John Phelan anaondoka katika utawala wa Trump, imetangaza Pentagon siku...
Jeshi la Polisi nchini Malawi limemkamata aliyekuwa Waziri wa Fedha siku ya Jumapili, akituhumiwa kwa utakatishaji fedha na matumizi mabaya ya ofisi. Hatua hii ni sehemu ya msako unaoendelea baada...
Baada ya drama za kutosha kuna jambo jipya limejitokeza. Tetesi zinasema mwili wa hayati Rais wa Zambia hauonekani ulipohifadhiwa huko Afrika kusini.
Msemaji na Mwanasheria wa familia ya Lungu...
Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump.
Anataka haki kamili na sio vitisho.
Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal.
Marekani anataka...
Zimbabwe’s fast-growing influencer economy is facing a major regulatory shift, as authorities move to bring online earnings into the formal tax system.
The Zimbabwe Revenue Authority (ZIMRA) has...
Uchaguzi wa Hungary umekwisha na aliyekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 16, Viktor Orban, kipenzi cha Trump na Putin, na mwiba mkali kwa European Union na Ukraine amepigwa chini vibaya sana.
Kwenye...
Wanaukumbi.
"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.
Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo...
Repsol ya Uhispania yarejesha udhibiti wa shughuli za mafuta za Venezuela baada ya usimamizi wa Trump kulegeza vikwazo
https://m.youtube.com/watch?v=MW09a3F1yVI
Kampuni kubwa ya nishati ya...
Yesu akamwambia, “Waacheni wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”Luka 9;60
Hayo ni Maneno ya Bwana Yesu.
Magaidi wa Hezbollah wameanza kuzika mizoga yao baada ya...
Jana usiku, IDF ilifanya uvamizi wa kilomita 12 ndani ya Lebanon
Kikosi cha Tzabar kilifanya uvamizi wa kuwashtukiza magaidi wa Hezbollah katika kijiji cha Dabin, kilomita 12 ndani ya Lebanon...
Vita vya Iran vyachangia kupanda kwa bei ya kondomu
Kampuni ya Carix, mojawapo ya kampuni kubwa ambazo hutengeneza mipira ya kondomu, imetangaza kuwa itaongeza bei ya bidhaa hizo kwa 30% au...