Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake.
"Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli...
Kuna makosa ukifanya yana gharama kubwa. Sekta ya utalii Tanzania inaendelea kuathirika.
https://www.instagram.com/p/DXTbUtZDD_M/?img_index=6&igsh=MTBxZnVmYTg0eWJ2dA==
Kutokana na hali inayoendelea ya hawa Makafir kujipigia kila sehemu watakayo ndani ya Iran na ndege zao kuranda randa nchini.
Je mheshimiwa Spika. Huu si wakati mzuri sasa wa kuanza kutumia...
Donald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza.
Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na...
kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara.
kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026:
1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu...
Aprili 17, 2026 Iran imetangaza kuwa Mlango wa bahari wa Hormuz (Strait of Hormuz) umefunguliwa kwa shughuli za kibiashara wakati huu wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na...
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa...
"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.
Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa...
Katikati ya makubaliano ya kusitisha mapigano, siku ya Ijumaa, vikosi maalum vya IDF vilikamata silaha za ziada za Hezbollah wakati wa operesheni huko Bint Jbeil, kusini mwa Lebanon.
Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema:
“Marekani haina cha kutupangia...
Wanaukumbi.
🚨KUVUNJIKA
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Chafunga Mlango-Bahari wa Hormuz
Msemaji wa Makao Makuu ya "Khatam al-Anbiya":
◽️Kulingana na makubaliano ya awali katika...
Hali ya sintofahamu imeongezeka katika Mlango-Bahari wa Hormuz baada ya Iran kutangaza kuwa imerudisha udhibiti wake katika njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Tangazo hilo...
Papa Leo XIV amezungumza haya leo, Aprili 13, 2026 kwenye denge, wakati wa Safari yake ya kuelekea Algeria, ikiwa ya kwanza Barani Afrika. Hii ni kwa mujibu wa Tovuti ya Catholic News Agency...
Rais trump alitoa taarifa ya kushangaza katika tukio la hivi karibuni la hotuba, akitangaza ghafla kuwa amemwagiza Pete Hegseth kutoa faili za serikali kuhusu UFO.
Rais huyo alikuwa mzungumzaji...
Maafisa wa Iran, kupitia vyombo vya habari kama Fars News, wametoa onyo kuwa; watafunga tena njia hiyo kama Marekani haitaondoa vizuizi vyake.
Bado kuna mvutano wa kidiplomasia; Iran inataka...
Rais Donald Trump, katika mahojiano ya hivi karibuni, amedai kuwa Iran "imekubali kila kitu".
Trump amesisitiza kuwa makubaliano yanajumuisha Iran kukabidhi akiba yake ya urani iliyorutubishwa...
Wanaukumbi.
Hatutahusika katika kuzingirwa kwa Mlango-Bahari, tunafanya kazi kwa dharura na Ufaransa, Uhispania na washirika wengine ili kuunda muungano mpana ili kulinda uhuru wa urambazaji...
Lebanon sio kigezo cha kufunguliwa kwa mlango wa Hormuz
Hivyo msidanganywe kwamba Iran imefungua Hormuz sababu ya Lebanon. Hizo ni siasa za kuwatia moyo wasiofikiri ili kuwafanya wasikie nafuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.