International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Maafisa wa Iran, kupitia vyombo vya habari kama Fars News, wametoa onyo kuwa; watafunga tena njia hiyo kama Marekani haitaondoa vizuizi vyake. Bado kuna mvutano wa kidiplomasia; Iran inataka...
4 Reactions
5 Replies
242 Views
Rais Donald Trump, katika mahojiano ya hivi karibuni, amedai kuwa Iran "imekubali kila kitu". Trump amesisitiza kuwa makubaliano yanajumuisha Iran kukabidhi akiba yake ya urani iliyorutubishwa...
3 Reactions
31 Replies
557 Views
Wanaukumbi. Hatutahusika katika kuzingirwa kwa Mlango-Bahari, tunafanya kazi kwa dharura na Ufaransa, Uhispania na washirika wengine ili kuunda muungano mpana ili kulinda uhuru wa urambazaji...
13 Reactions
118 Replies
2K Views
Lebanon sio kigezo cha kufunguliwa kwa mlango wa Hormuz Hivyo msidanganywe kwamba Iran imefungua Hormuz sababu ya Lebanon. Hizo ni siasa za kuwatia moyo wasiofikiri ili kuwafanya wasikie nafuu...
0 Reactions
3 Replies
159 Views
Naona jinsi wafuasi wa Trump wanavyomuamini humu Trump kila anachosema hata wakati mwengine unajua jambo hilo halingii akilini
0 Reactions
2 Replies
103 Views
Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hana mpango wa kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, kufuatia tofauti zao za wazi kuhusu suala la Iran na umiliki wa silaha za...
3 Reactions
6 Replies
308 Views
Mlango bahari sasa upo wazi Irani wenyewe wametangaza ila udhibiti wa marekani utaendelea mpaka makubaliano yasainiwe rasmi.. Israeli acha mara moja kupiga magumu Lebanon imetosha sasa..
1 Reactions
15 Replies
325 Views
Mamlaka ya Iran yaliwanyonga watu wasiopungua 1,639 mwaka wa 2025, idadi kubwa zaidi tangu 1989, kulingana na ripoti ya pamoja ya mashirika mawili yasiyo ya kiserikali ya haki za binadamu. Ripoti...
2 Reactions
13 Replies
355 Views
Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa. Hii siyo simulizi ya...
18 Reactions
231 Replies
4K Views
Nchi ambazo USA imezivamia tokea imeanza kujikomboa na kuzikomboa nchi nyinginezo, majaribio yaliyofanikiwa na ambayo hayakufanikiwa ya kuziondoa madarakani baadhi ya serikali nayo ntayaorodhesha...
9 Reactions
97 Replies
12K Views
  • Redirect
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Gabon, Alain-Claude Bilie-By-Nze, amekamatwa na kuwekwa ndani siku ya Jumatano akisubiri kufikishwa mahakamani. Sababu ya kukamatwa: Anachunguzwa kwa tuhuma za utapeli...
0 Reactions
Replies
Views
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Gabon na mwanasiasa mashuhuri wa upinzani, Alain-Claude Bilie-By-Nze, amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo, chama chake kimetangaza katika taarifa yake siku ya...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
Nyuki wakijikusanya na kuruka kwa makundi katika mji wa kusini wa Netivot, hatua iliyopelekea mamlaka kuwataka watu kusalia ndani ya nyumba zao. Wataalamu wa nyuki wanasema jambo hilo linatoa...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Nukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan): Aprili 12, 2026 asubuhi na mapema. Kuhusu Msimamo wa Iran: "Tumekaa nao usiku kucha, tukiwapa nafasi ya wazi ya kurejesha amani na utulivu katika...
5 Reactions
34 Replies
712 Views
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imevunja takriban mashirika 100 ya kiraia katika taarifa iliyotolewa Aprili 15, 2026, mamlaka zilitangaza kuwa vyama 118 mengi yakiwa yanajishughulisha na kazi...
3 Reactions
8 Replies
219 Views
Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko...
1 Reactions
10 Replies
238 Views
Nakala kamili ya usitishaji vita wa siku 10 wa Israel-Lebanon, pande zote zinalenga 'amani ya kudumu' Makubaliano yathibitisha Israel na Lebanon 'haziko vitani,' Beirut inajitolea kuzuia...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
Spain taifa kongwe liliogundua America zamani sana sasa ni wazi limeamua kuhamia kwa China. Jana Waziri Mkuu wake ametembelea China na kusaini mikataba ya ushirikiano kibiashara na ki diplomasia...
5 Reactions
7 Replies
205 Views
Namibia imekataa ombi la leseni ya huduma ya intaneti ya satelaiti ya Starlink, kampuni inayomilikiwa na Elon Musk, ikisema haiwezi kufanya kazi nchini humo bila angalau asilimia 51 ya umiliki...
0 Reactions
2 Replies
172 Views
Back
Top Bottom