International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ghana imejitoa kwenye mazungumzo ya mkataba wa msaada wa miaka mingi kutoka Marekani. Hatua hii imekuja baada ya Washington kudai kupewa ruhusa ya kupata taarifa binafsi za raia wa nchi hiyo, kwa...
3 Reactions
6 Replies
272 Views
Mahakama Nchini Afrika Kusini imeamuru Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, Bellarmine Mugabe, kufukuzwa Nchini humo baada ya kukiri kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria pamoja...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Nchi ya Eswatin ilikuwa iimpokee Lai Ching aliyetarajiwa kutembelea nchi hiyo kama Raisi wa Taiwan. Lakini nchi za Seychelles, Madagascar na Mauritius zimeondoa idhini ya ndege ya Lai kupita...
3 Reactions
9 Replies
327 Views
Nyaraka zilizovuja zinafichua makubaliano ya siri kati ya Hesda Co. yenye makao yake makuu China na viwanda vya MODAFL ili kuipa Iran vifaa muhimu vya makombora ya angani...
7 Reactions
77 Replies
1K Views
Ni masikitiko makubwa sana Kwa kuona zile harakati zinazofanywa na wazawa wa nchi ya Afrika Kusini dhidi ya ndugu zao Waafrika wanaotoka katika nchi mbali mbali hasa zile nchi kama Ghana, Nigeria...
4 Reactions
38 Replies
536 Views
haya hao ndizo leaders wa islam ambao wanachapa wengine viboko kwa kuvaa suruari, wanakataza watoto wasiende shuleni kwa sababu ni elimu wa "mfumo Kristo", kwamba wakakariri Kurani madrasa, sasa...
4 Reactions
12 Replies
434 Views
Ushawahi kushuhudia dada yako anabakwa mbele ya familia nzima? Ushawahi kushuhudia mama yako amefanywa mtumwa na kuuzwa kwa ajili ya kutumika kingono? Ushawwahi kushuhudia kundi la watu...
23 Reactions
219 Replies
3K Views
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewapongeza wanajeshi wa wa nchi hiyo waliojitoa uhai kwa kujilipua wakati wakiipigania Urusi dhidi ya Ukraine, na kuthibitisha sera inayoshukiwa kwa muda...
1 Reactions
3 Replies
245 Views
A court in South Africa has fined Chatunga R600,000 (approximately USD equivalent) and ordered his immediate deportation, while his co-accused, Tobias, has been sentenced to three years in prison...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Nendeni mkirudi nchi zenu, nyinyi watu wasiofaa!” Mwanaume mmoja wa Afrika Kusini amewashambulia kwa maneno wanafunzi wahamiaji pamoja na wazazi wao, huku vurugu zikizuka katika taasisi ya elimu...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
❓ COLE ALLEN NI NANI? Cole Tomas Allen, 31, mshukiwa wa upigaji risasi wa Chakula cha Jioni cha Waandishi wa Ikulu ya White House, amehusishwa na kundi linaloitwa "Wide Awakes," kulingana na...
3 Reactions
13 Replies
431 Views
Cole Tomas Allen ameshtakiwa kwa jaribio la kumuua Donald Trump baada ya kujaribu kuvamia Chakula cha Jioni cha Waandishi wa Habari wa Ikulu ya Marekani akiwa na bunduki na visu. Allen, mwenye...
1 Reactions
6 Replies
222 Views
Breaking News: Apostle Arome Osayi Under Fire as Being Real George Alleges Contradictions in Sermons Tuesday, April 28, 2026 FCT, Abuja – Nigeria A growing online controversy has erupted around...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Volodymyr Zelensky aliishutumu Israeli kwa kuruhusu nafaka "zilizoibwa" za Kiukreni kutoka maeneo yanayokaliwa na Urusi kuingia bandarini mwake, akionya kwamba Kyiv inaandaa vikwazo dhidi ya wale...
1 Reactions
2 Replies
197 Views
Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Wicknell Chivayo Gifts Opposition MP Car and $50,000, Sparking Debate in Zimbabwe Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo has ignited public debate after gifting a vehicle and cash to opposition...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇸 Iran yakataa kuruhusu usafirishaji wa bure katika Mlango wa Hormuz, EVER Naibu Spika wa Bunge la Iran: "Hatutarudisha Mlango wa Hormuz katika hali yake ya awali kwa hali yoyote...
5 Reactions
17 Replies
392 Views
Mkuu wa Wafanyakazi, Eyal Zamir, alishiriki leo katika mkutano wa kamandi ya juu ya IDF, ambapo alihutubia mkutano huo. Maelezo Muhimu aliyoyatoa IDF ni jeshi la Nchi ya Israeli, jeshi...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Mwanablogu wa Irani anaonyesha kiwango kikubwa cha upenyaji wa ujasusi wa Israeli ndani ya Iran, akionyesha kwamba Mossad ilijenga barabara ya lami kwa siri katika eneo la jangwa karibu na Isfahan...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa...
11 Reactions
100 Replies
2K Views
Back
Top Bottom