https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl
Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.
Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.
Msemaji wao aitwaye...
Magari aina ya Toyota Pick-Up ya Red-cross yaliyotolewa kwa ajili ya zoezi la ubadirishanaji Mateka na baada Magaidi wa Hamas kuyang’ang’ania na kuanza kuyatumia kwenye shughuli za kigaidi leo...
Mamia ya watu wameandamana Gaza katika maandamano makubwa zaidi ya kupinga Hamas tangu vita na Israel kuanza, wakidai kundi hilo liondoke madarakani.
Wanaharakati waliosambaza video mitandaoni...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amedai kwamba Vladimir Putin "atakufa hivi karibuni" huku tetesi zikienea kuhusu afya yake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Paris baada ya mkutano...
Tofauti na baadhi ya watu walivyokuwa wakidai kwamba Russia walikuwa hawaathiriki na vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na mataifa ya magharibi lakini sasa ukweli umedhihirika kwamba Russia...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Nishati, Eli Cohen, ameagiza Shirika la Umeme la Israel (IEC) kusitisha mara moja usambazaji wa umeme kwa Ukanda wa Gaza, katika kile kinachoonekana kuwa ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya...
Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki...
Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria
Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa...
Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi...
Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na...
Tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, nchi za Afrika zimekuwa washiriki muhimu. Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita, kwa kufuata kanuni za kushauriana kwa pamoja, kujenga kwa...
President Trump on Tuesday signed a sweeping executive action to overhaul U.S. elections that would require documentary proof of citizenship to register to vote in federal elections and mandate...
Meli za kivita za Marekani zinazoongozwa na HSS Harry Truman zimepigwa na makobora kadhaa kutoka kwa wanamgambo wa Houth sambamba na kushambuliwa kwa maaeneo kadhaa ndani ya Israel ikiwemo...
Hati ya kurasa 281 iliyopatikana na gazeti la The Times inaonyesha mipango ya utawala wa Trump kuhusu maelfu ya miradi ya misaada ya kigeni.
Utawala wa Trump unakusudia kusitisha msaada wa...
Emanuel Macron
" Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake"...
Raia wa Gaza wamerudi kuwa wakimbizi tena baada ya kurudi Gaza. Na Hamas wanazidi kufyekwa kila siku.
Siku zote wamama na watoto ndio wahanga wa vita. Ukisikiliza vilio vya wamama katika clip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.