Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,343
Reaction score
144,851

View: https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl

Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.

Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.

Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua!

Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana.

Ninadhani kuwa hakutakuwa tena na shambulio Kama hilo la Oktoba 7.

Maana hata mtu mpumbavu siyo kwamba Hana akili kabisa.

Kwa kipigo wanachotoa Israel, hata aliye mpumbavu ni lazima atalielewa somo.
 
Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.

Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:

1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote

Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
 
Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid.

ntarudi hapa.
naweka kituo
 
Kwa hiyo walichokifanya Hamas tarehe 7, Oktoba 2023 ni sahihi siyo?

Madhila yote yaliyotokea baada ya Oktoba 7 ni mapitio halali katika safari yao ya ukombozi, siyo?

Cha ajabu, hao Hamas na kwa bahati mbaya, Wapalestina pia, hata Waarabu na Waislamu wenzao ni kama wamewatelekeza tu.

Hamas ni wapumbavu na kwa upumbavu wao huo, wamewasababishia Wapalestina wa Gaza madhila yasiyosemekana!

Na yeyote anayeona kitendo walichokifanya Hamas Oktoba 7 kuwa ni sawa, naye ni mpumbavu kuzidi Hamas.

Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
 
October 7th ni reaction ya the desperate, maana wao Wapalestina wameface hizo "october 7th" nyingi mno kwa miaka zaidi ya 70 under occupation na Dunia haionyeshi kujali vya kutosha. Ni as if life ya waisrael ina matter zaidi kuliko ya Wapalestina.

Wewe unazungumzia HAMAS na October 7th, lakini huelezi ni how State of Israel came into being.

1. Umesahau makundi ya Kigaidi ya Waisrael ya Hagannah and Irgun, yaliyokuwa yaliyobomb camp David hotel na kuua watu kibao?

2. Umeshahau kuwa hao watu wa Gaza ni wakimbizi ambao walifurumushwa kutoka ndani ya Israel proper na kuwa settled ndani ya Gaza?.

Blaming is easy but wear their shoe!
 
Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.

Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:

1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote

Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Umesahau kuna wapalestina wengi tu raia wa Israel wanaruhusiwa kila kitu mpaka jeshin wapo. Jiulize kwanini hawa?
 
View: https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl

Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.

Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.

Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua!

Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana.

Ninadhani kuwa hakutakuwa tena na shambulio Kama hilo la Oktoba 7.

Maana hata mtu mpumbavu siyo kwamba Hana akili kabisa.

Kwa kipigo wanachotoa Israel, hata aliye mpumbavu ni lazima atalielewa somo.

Safari hii jamaa wameamua kutuchapa kikweli kweli. Iran mpo wapi jamani mnaacha tunagongwa namna hii? Tunawalilia Iran ndugu zetuni mmetulia buyu kama hamwoni?

Hali imekuwa tete sana. Huku mashimoni tunakokificha tunaishi kama panya.
 
Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.

Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:

1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote

Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Hayo masharti yalikuwepo kabla ya wao kuanzisha vita na Israel October 2023?
 
Kwa hiyo walichokifanya Hamas tarehe 7, Oktoba 2023 ni sahihi siyo?

Madhila yote yaliyotokea baada ya Oktoba 7 ni mapitio halali katika safari yao ya ukombozi, siyo?

Cha ajabu, hao Hamas na kwa bahati mbaya, Wapalestina pia, hata Waarabu na Waislamu wenzao ni kama wamewatelekeza tu.

Hamas ni wapumbavu na kwa upumbavu wao huo, wamewasababishia Wapalestina wa Gaza madhila yasiyosemekana!

Na yeyote anayeona kitendo walichokifanya Hamas Oktoba 7 kuwa ni sawa, naye ni mpumbavu kuzidi Hamas.

Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Sheikh wangu sisi tulidhani kuwa lile tukio tungekuwa mashujaa ila kwa sasa tunajuta sana. Ni kama Mayahudi walitutega. Tukadanganyika na wenzetu wanafiq kuwa tukifanya vile tutapata uhuru ila tumelipia mpaka kupitiliza sasa tunaishi kama panya maisha yashakuwa magumu hakuna iran wala mrusi anayetusaidia. Tumeachwa wenyewe tupambane na hali zetu. Mayahudi wanatubagaza, wanatugonga kila sehemu....inauma sana.
 
October 7th ni reaction ya the desperate, maana wao Wapalestina wameface hizo "october 7th" nyingi mno kwa miaka zaidi ya 70 under occupation na Dunia haionyeshi kujali vya kutosha. Ni as if life ya waisrael ina matter zaidi kuliko ya Wapalestina.

Wewe unazungumzia HAMAS na October 7th, lakini huelezi ni how State of Israel came into being.

1. Umesahau makundi ya Kigaidi ya Waisrael ya Hagannah and Irgun, yaliyokuwa yaliyobomb camp David hotel na kuua watu kibao?

2. Umeshahau kuwa hao watu wa Gaza ni wakimbizi ambao walifurumushwa kutoka ndani ya Israel proper na kuwa settled ndani ya Gaza?.

Blaming is easy but wear their shoe!
Ndio waue wenzao octorber 7.....?? Kwanini mnateka watu wasio na hatia?? Rudisheni mateka haya bakini nao sasa tuone mnapata faida gani zaidi ya kutoka roho...........unabaki na maiti yanini wewe mganga au chizi?? Mtu kashakufa unabaki naye wa nini??? Kuna yule mtanzania pia maiti yake wanayo mpaka leo licha baba na mama yake kuiomba aje kuizika nyumbani......wapigwe wachapwe wauliwe kama ambavyo waliua wale watanzania bila huruma ...... . Maana wanataka dunia iwaonee huruma wao bila wao wenyewe kujionea huruma RUDISHENI MAITI YA MTANZANIA BILA MASHARTI YEYOTE MAANA HAUSIKI NA MADHILA YENU WALA SHIDA ZENU
 
October 7th ni reaction ya the desperate, maana wao Wapalestina wameface hizo "october 7th" nyingi mno kwa miaka zaidi ya 70 under occupation na Dunia haionyeshi kujali vya kutosha. Ni as if life ya waisrael ina matter zaidi kuliko ya Wapalestina.

Wewe unazungumzia HAMAS na October 7th, lakini huelezi ni how State of Israel came into being.

1. Umesahau makundi ya Kigaidi ya Waisrael ya Hagannah and Irgun, yaliyokuwa yaliyobomb camp David hotel na kuua watu kibao?

2. Umeshahau kuwa hao watu wa Gaza ni wakimbizi ambao walifurumushwa kutoka ndani ya Israel proper na kuwa settled ndani ya Gaza?.

Blaming is easy but wear their shoe!
Msilie lie wao walichagua njia hiyo tangu mwanzo hawakutaka kukaa na wayahudi Kwa amani. Hata ningekuwa mimi myahudi nisingeruhusu MTU mwenye damu ya ugaidi gaidi afanye anavyotaka lazima ningecontrol kila movement anayofanya
 
Nikikumbuka walichowafanyia ndugu zetu akina Moleli wakati hawahusiki na chochote, hakika anayewatetea Hamas ni gaidi kama walivyo magaidi wengine
Acha unafiki
 
View: https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl

Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.

Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.

Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua!

Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana.

Ninadhani kuwa hakutakuwa tena na shambulio Kama hilo la Oktoba 7.

Maana hata mtu mpumbavu siyo kwamba Hana akili kabisa.

Kwa kipigo wanachotoa Israel, hata aliye mpumbavu ni lazima atalielewa somo.

Sasa hivi ni dhahili kuna mossad wa jutosha gaza wanakusanya info wana share na shinbet wanachakata then IDF anapewa target Kwa utekelezaji. Pia hawa mateka wa mwisho mwisho walioachiwa na Hamas walikuwa wanashikiliwa moja Kwa moja na viongozi wa hamas maana baada ya kurejea Kwa mashambulizi ya Israel anaumwa sana viongozi wa hamas Kwa kasi ya ajabu.
 
Umesahau kuna wapalestina wengi tu raia wa Israel wanaruhusiwa kila kitu mpaka jeshin wapo. Jiulize kwanini hawa?
Unachanganya uarabu na upalestina.

Huwezi kuwa raia wa Palestine at the same time uwe raia wa Israel na uitumikie IDF
 
Sasa hivi ni dhahili kuna mossad wa jutosha gaza wanakusanya info wana share na shinbet wanachakata then IDF anapewa target Kwa utekelezaji. Pia hawa mateka wa mwisho mwisho walioachiwa na Hamas walikuwa wanashikiliwa moja Kwa moja na viongozi wa hamas maana baada ya kurejea Kwa mashambulizi ya Israel anaumwa sana viongozi wa hamas Kwa kasi ya ajabu.
Kwani viongozi wa Hamas wameanza kuuuliwa leo ? Nini kimebadilika ? Malengo ya IDF yamefikiwa ?
 
Back
Top Bottom