International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Washington DC Katika tukio linalotikisa anga za kisiasa na kijeshi za Marekani, uvujaji wa mazungumzo ya siri ya maafisa waandamizi umefichua mjadala wa kina kuhusu mipango ya mashambulizi dhidi...
4 Reactions
3 Replies
574 Views
Eti wakuu, kuna watu huku jukwaani kutwa wanasema ya kuwa Marekani yupo after interest wakimaanisha ya kuwa Marekani huwa anapeleka askari wake sehemu yenye maslahi makubwa kama madini na Mafuta...
1 Reactions
6 Replies
412 Views
This is too funny! Kungekuwa hakuna video mtu anaweza kubisha na kusema huo ni utani. Ila, huo si utani. Ni kweli kabisa. Jana Rais Trump kawafuturisha wafuasi wa mtume Mohamed 😂...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Leo tena maroketi kadhaa yameruswa uwelekeo wa kaskazini ya Israel na kumfanya waziri wa ulinzi wa Israel atoe onyo na vitisho kwa serikali ya Lebanon. Kuonesha ya kuwa maroketi hayo baadhi...
2 Reactions
8 Replies
732 Views
Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu. Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la...
4 Reactions
9 Replies
689 Views
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana...
4 Reactions
125 Replies
4K Views
Kufuatia kuenea kwa matangazo kwamba wananchi wa Gaza waandamana kuwapinga Hamas,wapiganaji wa makundi mchanganyiko huko Gaza wamesema wataanza kuwatafuta mapandikizi ambao wanafanya kazi za...
5 Reactions
15 Replies
925 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Kituo kilichotumika kuhifadhi ndege hizo ni mali ya vikosi vya anga vya Hezbollah, vinavyojulikana kama Kitengo cha 127, jeshi...
3 Reactions
14 Replies
894 Views
IDF: Tulishambulia kituo cha kuhifadhi ndege zisizo na rubani mali ya shirika la kigaidi la Hezbollah huko Dahiyya, Beirut. Hivi majuzi IDF ilishambulia miundombinu katika kitongoji cha Hadahiya...
2 Reactions
5 Replies
532 Views
Wadau hamjamboni nyote Iran imeamua kujipanga mapema kiusalama kwa kujenga ukuta. Imepakana na nchi 7 za Afghanistan, Pakistan, Uturuki, Armenia, Azerbaijan and Turkmenistan na Iraq Ukweli...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati...
0 Reactions
4 Replies
542 Views
Zaidi ya watu 700 wameuawa nchini Myanmar na maelfu ya wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 ambalo lilisikika pia katika nchi jirani. Wengi wa walioaga dunia wako...
2 Reactions
14 Replies
740 Views
Jumuiya ya wanahabari barani Afrika inaomboleza kuondokewa na sauti mashuhuri, Shaka Ssali, aliyekuwa mtangazaji wa kipindi maarufu cha Straight Talk Africa kinachorushwa na Voice of America...
12 Reactions
82 Replies
5K Views
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
7 Reactions
116 Replies
6K Views
Leo tena, kombora lingine limerushwa Israel kutoka Lebanon. Israel wamezoea ving'ora vya roketi na milipuko wakati Iron-Dome ikipopoa makombola kama vile sisi tulivyozoea kunywa kahawa au chai...
2 Reactions
7 Replies
650 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: === Brigedia Jenerali Effie Defrin amepewa rasmi majukumu ya msemaji mpya wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), akichukua nafasi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hayo ni maandiko huwezi shindana nayo vinginevyo utakufuru Mungu alinena na hata sasa ananena Taifa takatifu Mungu ibariki Israel Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu...
2 Reactions
5 Replies
290 Views
Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom