Moderator ni silaha za maangamizi, sio nuclear
MAREKANI ALIONA AMEFANYIWA DHARAU HADI NYUMBANI KWAKE AKAITAKA VITA KWA NAMNA YOYOTE ILE:
Baada ya milipuko mbali mbali katika balozi zake ikiwemo...
Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu aamua kumteua aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji Makamu Adm (res.) Eli Sharvit kuwa mkuu atayeridhi mikoba ya aliyekuwa Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar Ofisi ya...
Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani...
Katika muktadha wa mgogoro unaoendelea Mashariki ya Kati, hasa kati ya Israeli na Palestina, suala la ulinzi wa raia limekuwa muhimu sana. Ili kuepusha vifo na madhara zaidi kwa watu wasio na...
Wadau hamjamboni nyote?
"Tuko tayari," Netanyahu alisema Jumapili. "Hamas itaweka chini silaha zake. Viongozi wake wataruhusiwa kuondoka [Gaza]. Tutasimamia usalama wa jumla katika Ukanda wa...
Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo
Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na...
Bilionea wa Zimbabwe Strive Masiyiwa anayemiliki Cassava Technologies ametangaza kushirikiana na Nvidia kujenga data centre ya kwanza barani Afrika.
Cassava Technologies inapanga kutumia...
'To Iranian President Rouhani: NEVER, EVER THREATEN THE UNITED STATES AGAIN OR YOU WILL SUFFER CONSEQUENCES THE LIKES OF WHICH FEW THROUGHOUT HISTORY HAVE EVER SUFFERED BEFORE. WE ARE NO LONGER A...
Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi...
Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametangaza Baraza lake la Mawaziri kwa mara ya kwanza siku ya Jumamosi, akimteua Lucia Witbooi kuwa makamu wa rais wa kwanza mwanamke katika historia...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.
"Siku zote...
Wadau hamjamboni nyote?
Baada ya kipigo kikali Hamas wakubali yaishe Kwa kuachia mateka 5 wa kiyahudi siku ya Eid
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Hamas agrees to release five hostages...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached
14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at...
Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
Pete anajulikana kwa kupenda kwake...
Rwanda na M23 kwa wakati mwingine wameziaibisha nchi zaidi ya 10 ukanda wa Kusini mwa Afrika.
Kwa tetesi zilizopo kwa zaidi ya week tatu sasa majeshi ya SADC yamekuwa yanaiomba M23 kurejesha...
Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa...
Nimekuwa nikiona vitu vingi vinavyouzika nchi za Ulaya na uarabuni. Hasa parachichi, viazi mbatata, matunda mengine yakiwemo machungwa, tikiti maji nk. Bila kusahau maua.
Ukiangalia uhitaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.