Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) imeanza uchunguzi wa mtindo wa maisha wa bilionea Richard Amarh-Quaye baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya kuzaliwa yenye iliyogharimu dola milioni 2, ikihusisha...
Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.
Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa...
Usiku wa kuamkia leo,2:30, houthi walifyatua makombora ya balistiki na cruise kuelekea israel na kudai kupiga shabaha, kiongozi wao saree alitoa taarifa hiyo
Upande mwingine israel imedai...
Nimekuwa nikiwaza, makampuni ya kupima viwanja yanavyoongezeka na upanuzi wa viwanja kwenye Majiji, miji, halmashauri, vijiji na vitongoji.
Bahati mbaya sioni juhudi za kuwaza juu ya maeneo ya...
Jeshi la Yemen (Yemen armed forces) limetoa matangazo na vipeperushi kwa Wakazi wa mji wa Tel Aviv kuondoka haraka katika mji huo kwakua siyo salama tena.
Hii inafuatia mashambulizi ya makombora...
Brigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi ya kuua Viongozi wa magaidi ya Hamas imeanza upya huko Mashariki ya kati kwa vifo vya makamanda 2 waandamizi
IDF na Shin Bet wametangaza kuwa maafisa wawili...
Vurugu imezuka kati ya polisi na waandamanaji nje ya Bunge la Israel baada ya waandamanaji kuzuia lango kuu la Bunge.
Tukio hilo lilitokea kabla ya wabunge wa Knesset kupiga kura kuhusu bajeti...
Kijana mdogo amekwenda na maji majuzi, Magaidi yanalia, Yatanyamaza yatasahau kisha yataendelea tena kulipua
Sijaona watu wenye "chicken brain" kama magsidi.
Good Job IDF
Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7...
Habari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha.
Hapo juzi na mapema leo...
20 March 2025
Kigali, Rwanda
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Uganda (UPDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amewasili Kigali, Rwanda.
Picha : Muhoozi Jenerali Kainerugaba alipowasili...
Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema kwamba rasmi wa Hamas aliyekuwa akilengwa, Ismail Barhoum, alikuwa waziri mkuu mpya wa Gaza. Katz alithibitisha kuwa Jeshi...
Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han...
Ofisi ya Rais inasema Rais Joao Lourenco anataka kuangazia kazi yake kama mwenyekiti wa Umoja wa Afrika
KIGALI, Rwanda
Angola imejiyoa jukumu lake kama mpatanishi mkuu wa Umoja wa Afrika kati ya...
Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo.
Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na...
Profesa Luciano Zaccara wa chuo kikuu huko Qattar amesema kuvukwa kwa mstari mwekundu na Israel huko Gaza hakuna athari yoyote.
Matamko yote yaliyotolewa na umoja wa mataifa na jumuiya kadhaa...
1. UTANGULIZI
Sheria za vita, zinazojulikana kama International Humanitarian Law (IHL), ni kanuni zinazodhibiti mwenendo wa vita na migogoro ya silaha ili kulinda raia na wahanga wa vita. Sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.