International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Taifa teule tukufu, takatifu na teule la Mungu wa kweli linazidi kuimarika kiuchumi. Licha ya vita mashariki ya kati uchumi wake mwaka huu tu umekua 3.5%. Israel haina mafuta kama wenzake...
6 Reactions
41 Replies
915 Views
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemsimamisha kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu, Karim Khan. Hatua hii inakuja baada ya uchunguzi wa miezi 18 uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusu tuhuma za...
7 Reactions
64 Replies
981 Views
10 June 2026 Kuwait City Kuwait imeanzisha kanuni mpya za kuajiri wafanyakazi wa ndani kwa nchi 10, huku ikizuia kuajiri kutoka nchi zingine 27. Kuwait: Kulingana na ripoti za vyombo vya habari...
5 Reactions
29 Replies
515 Views
Hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali kumeenea video kadhaa zikionesha raia wa Afrika kusini wakiwapiga na kuwafukuza raia kutoka maifa mengine barani Afrika kwa madai kwamba wamechukua kazi...
2 Reactions
4 Replies
233 Views
Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumekuwa na dhana potofu zinazoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wakiongozwa na Mzee wa UHARO Ritz na mjinga mwenzako zitto junior wakidai kuwa Israel ni wachokozi na wanavamia nchi zingine...
1 Reactions
13 Replies
247 Views
Mzuka wana jamvi ? Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo. Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe...
8 Reactions
34 Replies
712 Views
Wanaukumbi. Iran imeshambulia kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Ghuba kulipiza kisasi duru ya hivi karibuni ya mashambulizi ya Marekani, yaliyokuja baada ya Donald Trump kusema kwamba...
3 Reactions
21 Replies
518 Views
Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇳 Iran kwa Umoja wa Mataifa: Nchi 6 za Kiarabu Zinadaiwa Kutulipa Nchi SITA za Kiarabu: Bahrain 🇧🇭 Jordan 🇯🇴 Kuwait 🇰🇼 Qatar 🇶🇦 Saudi Arabia 🇸🇦 UAE 🇦🇪 Mwakilishi wa Umoja wa...
5 Reactions
8 Replies
509 Views
zaidi ya makamanda 10 wa uwanja wa Hezbollah walioongoza magaidi wa shirika la kigaidi katika mapambano dhidi ya wanajeshi wa IDF na Jimbo la Israeli, wameondolewa. Miongoni mwa makamanda...
4 Reactions
2 Replies
115 Views
Baadhi ya vipengele muhimu vya makubaliano hayo ni; Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 60 katika nyanja zote, ikiwemo nchini Lebanon. Mlango bahari wa Hormuz kufunguliwa mara moja, bila Iran...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Bwana Yesu asifiwe sana ndugu zangu. Hatimaye rais wa Somalia kutembea taifa la kiyahudi, wote hao ni ndugu wa damu kabisa. Rais huyo kutoka nchi ya Kiislamu anatarajiwa kuwasili Israel siku...
3 Reactions
19 Replies
284 Views
1. Xi alimuonya Trump kuhusu "Thucydides Trap." "Can China and the US overcome the Thucydides Trap" –Xi Jinping Nini maana ya Thucydides Trap? Nchi mpya yenye nguvu inapoinuka, nchi kubwa ya...
20 Reactions
81 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia Leo Israel imeendeleza mashambulizi makubwa huko Gaza. Iran Wameufyata Tena Mkia Iran walisema endapo Israel itashambulia Gaza basi wao Watajibu kwa kushanmbulia ndani ya...
1 Reactions
14 Replies
236 Views
Vijana wanaona kawaida maana muasisi wao alivyofanya hivyo hivyo kwa katoto ka miaka 6
4 Reactions
35 Replies
418 Views
Rais Donald Trump amesema kwamba Marekani itaishambulia Iran "vikali usiku wa leo" katika chapisho jipya kwenye mtandao wa Truth Social. Hichi ndicho alisema rais: "Marekani itaishambulia Iran...
5 Reactions
24 Replies
458 Views
US forces began launching additional strikes against multiple targets in Iran at 5:15 pm EDT (21:15 GMT), US Central Command said in a post on X on Wednesday. "The strikes are in response to...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healey, amejiuzulu kufuatia mzozo mkubwa wa kibajeti kuhusu matumizi ya kijeshi. Katika barua yake, amemshutumu Waziri Mkuu Keir Starmer kwa kushindwa kutenga...
2 Reactions
5 Replies
272 Views
Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
1 Reactions
21 Replies
403 Views
Back
Top Bottom