International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya Ukraine kuruhusiwa kumpiga Mrusi ndani ya mipaka yake, Ukraine amejijengea uwezo mkubwa sana wa kutumia drone katika kuipiga Urusi anavyotaka kwa masafa marefu. Upigaji wa Ukraine kwa...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Ukraine inaendelea kuihathiri Urusi kiuchumi. Leo drones za Ukraine zimeruka hadi Moscow na kubomu kiwanda cha kusafishia mafuta ghafi Moscow Kapotnya na pia kubomu kiwanda kingine oil depot...
3 Reactions
14 Replies
371 Views
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa. Amesema hakuna haja ya kulipua...
5 Reactions
7 Replies
312 Views
  • Redirect
Floyd Mayweather, kutoka utajiri wa $ 1.2 Billion (Tshs Trilioni 3) mpaka kuwa somo la umuhimu wa nidhamu ya fedha, Ukishindwa kuwa na nidhamu kwenye fedha basi sbiri fedha ikufundishe nidhamu...
5 Reactions
Replies
Views
Waisraeli kutoka nyanja zote za kisiasa wameonyesha hasira siku ya Jumatatu kutokana na habari za makubaliano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran, wakiita hatua hiyo kuwa janga kwa Israeli...
2 Reactions
5 Replies
227 Views
Mkataba wa Iran na Marekani: Tathmini Fupi Mkataba huu unaonekana sana kama usiofaa kwa Israeli. Wasiwasi mkubwa ni unafuu wa kiuchumi ambao Iran itapokea, makubaliano ya nyuklia ambayo...
5 Reactions
13 Replies
353 Views
Ndege ya kivita ya Urusi aina ya Tu-22M3 ya masafa marefu ilianguka wakati wa safari ya mafunzo katika eneo la Irkutsk nchini Urusi leo. Ndege hiyo haikuwa na a bomu na ilianguka katika eneo...
0 Reactions
8 Replies
210 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alifanya mkutano na waandishi wa habari. Maelezo Muhimu: Dhamira ya maisha yangu ni mapambano dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran. Kwa makubaliano au bila...
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Maafisa wa ujasusi wa Marekani wanaelezea kutoridhishwa kwao kuhusu makubaliano ya nyuklia yanayoibuka na Iran, huku Mkurugenzi wa CIA John Ratcliffe akimwonya Rais Donald Trump kwamba Tehran...
2 Reactions
39 Replies
713 Views
Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire. 👉 Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran? Kwa vigezo gani: Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)? Survival (nani bado yupo hai kiushawishi...
5 Reactions
28 Replies
744 Views
Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji...
11 Reactions
48 Replies
875 Views
Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za...
5 Reactions
16 Replies
381 Views
Dr. Zack ✍️ 👉 1. Vita vilianza kuongeza gharama kubwa za kijeshi kwa Marekani. 👉 2. Bei za mafuta duniani zilianza kuathiri uchumi wa Marekani. 👉 3. Mlango-Bahari wa Hormuz...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Marekani na Iran Wafikia Makubaliano ya Kumaliza Vita, Hormuz Kufunguliwa Tena Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miezi mitatu, hatua...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Leo, IDF imemshambulia na kumuua gaidi Saleh Ramadan Muhammad Khalifa, kamanda wa seli katika Kikosi cha Hamas cha Nuseirat, katika Ukanda wa Gaza wa kati. Katika shambulio la ziada kaskazini mwa...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Moja kwa moja. Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama...
14 Reactions
240 Replies
3K Views
Wananchi wa Iran wenye msimamo mkali wameandamana kuwataka waziri wa mambo ya nje Iran Abbas Araghchi na spika wa bunge Muhammad Glalibaf waachie nyadhifa zao kwa kushirikiana na Marekani kutaka...
0 Reactions
6 Replies
233 Views
Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa. Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye...
0 Reactions
18 Replies
255 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: Mimi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu tunaongoza sera iliyo wazi inayoamua kwamba IDF itabaki katika maeneo ya usalama nchini Lebanon, Syria, na Gaza -...
2 Reactions
4 Replies
157 Views
Back
Top Bottom