Jeshi la Wanajeshi wa Kivita la Israel linasema linajiandaa kwa uwezekano wa kushambulia Israel kufuatia mashambulizi yake dhidi ya malengo ya Hezbollah huko Beirut.
Mkuu wa Wafanyakazi Luteni...
Hawa wapuuzi Israel sijui ni maajent?Imagine Iran na US ilikua wasaini dili la amani leo au kesho ili maisha duniani yarudi kama mwanzo
Mafuta na gesi vingeshuka ila Israel kaharibu tena mambo...
Ni wazi kuwa Iran ilishambulia makombora ya balistiki takriban 200 Jumanne jioni hii, kuelekea kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi vya taifa la Israel kama shambulio la kulipiza kisasi lililoitwa...
Vikundi vidogo ndani ya Iran vimeonyesha kuchukizwa baada ya madai ya makubaliano na Marekani.
Vikundi hivyo vimeonekana vikifanya maandamano siku ya Jumamosi katika miji kama Tehran na Mashhad...
Israel imetoka ONYO Kali kwa maadui zake kutoka nje kwa kuwaambia Shambulio moja la kigaidi, roketi, kombora au ndege isiyo na rubani na utapata kuonja utamu wa kombola letu pendwa la Jericho.
Iran walitoa tamko kuwa kama Israel itaendelea kushambulia Lebanon basi nao wataishambulia Israel, walijaribu juzi kufanya hivi, Israel ikajibu kwa kufanya mashambulizi makubwa ndani ya Iran...
Wanaukumbi.
🇮🇷 Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekataa madai ya Rais Trump kwamba pande zote zimeidhinisha makubaliano yaliyopendekezwa kati ya Marekani na Iran.
Maafisa mjini Tehran walisema:
❌...
Taifa teule tukufu, takatifu na teule la Mungu wa kweli linazidi kuimarika kiuchumi.
Licha ya vita mashariki ya kati uchumi wake mwaka huu tu umekua 3.5%.
Israel haina mafuta kama wenzake...
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemsimamisha kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu, Karim Khan. Hatua hii inakuja baada ya uchunguzi wa miezi 18 uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusu tuhuma za...
10 June 2026
Kuwait City
Kuwait imeanzisha kanuni mpya za kuajiri wafanyakazi wa ndani kwa nchi 10, huku ikizuia kuajiri kutoka nchi zingine 27.
Kuwait: Kulingana na ripoti za vyombo vya habari...
Hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali kumeenea video kadhaa zikionesha raia wa Afrika kusini wakiwapiga na kuwafukuza raia kutoka maifa mengine barani Afrika kwa madai kwamba wamechukua kazi...
Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa...
Kumekuwa na dhana potofu zinazoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wakiongozwa na Mzee wa UHARO Ritz na mjinga mwenzako zitto junior wakidai kuwa Israel ni wachokozi na wanavamia nchi zingine...
Mzuka wana jamvi ?
Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo.
Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe...
Wanaukumbi.
Iran imeshambulia kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Ghuba kulipiza kisasi duru ya hivi karibuni ya mashambulizi ya Marekani, yaliyokuja baada ya Donald Trump kusema kwamba...
Wanaukumbi.
🇮🇷🇺🇳 Iran kwa Umoja wa Mataifa: Nchi 6 za Kiarabu Zinadaiwa Kutulipa
Nchi SITA za Kiarabu:
Bahrain 🇧🇭
Jordan 🇯🇴
Kuwait 🇰🇼
Qatar 🇶🇦
Saudi Arabia 🇸🇦
UAE 🇦🇪
Mwakilishi wa Umoja wa...
zaidi ya makamanda 10 wa uwanja wa Hezbollah walioongoza magaidi wa shirika la kigaidi katika mapambano dhidi ya wanajeshi wa IDF na Jimbo la Israeli, wameondolewa.
Miongoni mwa makamanda...
Baadhi ya vipengele muhimu vya makubaliano hayo ni;
Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 60 katika nyanja zote, ikiwemo nchini Lebanon.
Mlango bahari wa Hormuz kufunguliwa mara moja, bila Iran...
Bwana Yesu asifiwe sana ndugu zangu. Hatimaye rais wa Somalia kutembea taifa la kiyahudi, wote hao ni ndugu wa damu kabisa.
Rais huyo kutoka nchi ya Kiislamu anatarajiwa kuwasili Israel siku...
1. Xi alimuonya Trump kuhusu "Thucydides Trap."
"Can China and the US overcome the Thucydides Trap"
–Xi Jinping
Nini maana ya Thucydides Trap?
Nchi mpya yenye nguvu inapoinuka, nchi kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.