International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

The European Parliament has voted in favour of a new law aimed at accelerating the return of migrants with no legal right to stay in the European Union, with the measure passing by 418 votes to...
1 Reactions
4 Replies
132 Views
  • Featured
Serikali ya Guinea ya Ikweta imejiuzulu kwa kutofikia malengo yake, huku serikali mpya ikitarajiwa kuundwa hivi karibuni. Makamu wa Rais, Teodoro Nguema Obiang Mangue, amesema Waziri Mkuu...
4 Reactions
23 Replies
901 Views
Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria. Mambo muhimu ya makubaliano hayo ni pamoja na: ✅ Kukomeshwa kwa shughuli za kijeshi katika nyanja zote ✅...
9 Reactions
173 Replies
2K Views
Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe...
33 Reactions
50 Replies
2K Views
Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki...
9 Reactions
11 Replies
383 Views
Wakati muda wa mwisho uliowekwa na makundi yanayopinga wageni nchini Afrika Kusini unakaribia, maelfu ya raia wa kigeni wanakusanya virago na kuondoka. Makundi hayo yametoa muda wa hadi Juni 30...
2 Reactions
7 Replies
251 Views
Mapigano yaliendelea kusini mwa Lebanon huku Hezbollah ikirusha makombora mengi na angalau shambulio moja la makombora ya kupambana na vifaru dhidi ya vikosi vya Israeli vinavyosonga mbele karibu...
0 Reactions
7 Replies
166 Views
Hebu nikueleze kuhusu simulizi ya kusikitisha lakini yenye nguvu kubwa inayotokea sasa nchini Zambia – simulizi ambayo kila dikteta wa Afrika anapaswa kuitafakari kwa makini. Mwaka 2017, Edgar...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Masharti ni haya yafuatayo 1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran 2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie...
7 Reactions
49 Replies
1K Views
Ndege ya kimkakati ya Jeshi la Anga la Marekani aina ya B-52 Stratofortress ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Kituo cha Jeshi la Anga la Edwards huko California, Marekani. Ndege hiyo...
0 Reactions
10 Replies
272 Views
Marekani na Israel wamevamia Iran wakitegemea kumaliza oparesheni ndani ya siku 4 tu, lakini sasa siku 18 zimefika huku vita ikionesha dalili za kukolea kuliko kuisha. Iran wamepigwa, lakini...
23 Reactions
162 Replies
3K Views
Baada ya Ukraine kuruhusiwa kumpiga Mrusi ndani ya mipaka yake, Ukraine amejijengea uwezo mkubwa sana wa kutumia drone katika kuipiga Urusi anavyotaka kwa masafa marefu. Upigaji wa Ukraine kwa...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Ukraine inaendelea kuihathiri Urusi kiuchumi. Leo drones za Ukraine zimeruka hadi Moscow na kubomu kiwanda cha kusafishia mafuta ghafi Moscow Kapotnya na pia kubomu kiwanda kingine oil depot...
3 Reactions
14 Replies
371 Views
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa. Amesema hakuna haja ya kulipua...
5 Reactions
7 Replies
312 Views
  • Redirect
Floyd Mayweather, kutoka utajiri wa $ 1.2 Billion (Tshs Trilioni 3) mpaka kuwa somo la umuhimu wa nidhamu ya fedha, Ukishindwa kuwa na nidhamu kwenye fedha basi sbiri fedha ikufundishe nidhamu...
5 Reactions
Replies
Views
Waisraeli kutoka nyanja zote za kisiasa wameonyesha hasira siku ya Jumatatu kutokana na habari za makubaliano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran, wakiita hatua hiyo kuwa janga kwa Israeli...
2 Reactions
5 Replies
227 Views
Mkataba wa Iran na Marekani: Tathmini Fupi Mkataba huu unaonekana sana kama usiofaa kwa Israeli. Wasiwasi mkubwa ni unafuu wa kiuchumi ambao Iran itapokea, makubaliano ya nyuklia ambayo...
5 Reactions
13 Replies
353 Views
Ndege ya kivita ya Urusi aina ya Tu-22M3 ya masafa marefu ilianguka wakati wa safari ya mafunzo katika eneo la Irkutsk nchini Urusi leo. Ndege hiyo haikuwa na a bomu na ilianguka katika eneo...
0 Reactions
8 Replies
210 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alifanya mkutano na waandishi wa habari. Maelezo Muhimu: Dhamira ya maisha yangu ni mapambano dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran. Kwa makubaliano au bila...
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Back
Top Bottom