Leading climate engineering and geoengineering expert Dane Wigington has taken a centre stage in warning about the escalating threats to Earth's biosphere.
Dane Wigington has delivered this...
By Max Boot: Columnist Covering National Security.
So it was all the more shocking to read that hundreds of supporters of Kataib Hezbollah, an Iranian-backed militia, broke into the compound on...
Baada ya tukio la kutumika kwa silaha za kemikali dhidi ya Raia linalodaiwa kutekelezwa na serikali ya Syria,Marekani ikiungwa na mkono na Ufaransa na Uingereza zimetoa matamko makali zote...
Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Siku ya Jumapili usiku, Trump...
Tokea mwaka 1944, baada ya kutengeneza mfumo wa Bretton-Woods hakuna taifa ambalo limewahi kuwa na uchumi mkubwa kama Marekani. Kufika mwaka 1945, Marekani ilikuwa inamiliki nusu nzima ya uchumi...
Huyu jamaa ni mkorofi sana,
Kaenda na mabaki ya ndege ya Irani ambayo haina rubani (Drone) akamuuliza waziri wa Iran kama anaikumbuka na akasema ni lazima aikumbuke kwasababu ni yao. Akatuma...
Wapalestina wasiopungua 20 wameripotiwa kupoteza maisha siku ya Julai 16,2025, katika kituo cha kugawa misaada cha Gaza Humanitarian Foundation (GHF) kilichopo Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa...
ANSWER: Billions and BILLIONS of dollars of oil revenue at stake and US ambition to remain No. 1 World leader in terms of economic
prowess, military power and political influence...
Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za...
Gazeti la Uingereza la Financial Times linathibitisha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alimuuliza Volodymyr Zelensky iwapo Ukraine inaweza kushambulia Moscow na St. Petersburg.
Wa...
Serikali ya Eswatini imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji watano waliotolewa Marekani na kuwekwa katika vyumba maalum vya gereza, kufuatia makubaliano ya muda mrefu na utawala wa aliyekuwa...
Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili...
Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria...
Vikwazo ni suala moja, lakini kuvitekeleza ni suala jingine kabisa. Wavuvi wanasema, “Paka hawezi kumjeruria Mpishi“ 😂 Wazee wa teknolojia! NVIDIA imetangaza kurudi China bana . Juzi (jumatatu)...
Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje...
Wakuu,
Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali...
Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi nyingine za hali ya juu na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.
Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu...
Waziri wa Kazi wa Cuba, Marta Elena Feitó Cabrera, amejiuzulu baada ya kudai kuwa hakuna ombaomba nchini humo, akisema wanaochakura takataka hufanya hivyo kwa hiari ili kupata “pesa rahisi”...
Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake.
Watafiti wa China wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.