Iran just outplayed the United States again

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,703
Reaction score
71,040
By Max Boot: Columnist Covering National Security.

So it was all the more shocking to read that hundreds of supporters of Kataib Hezbollah, an Iranian-backed militia, broke into the compound on Tuesday and ransacked the reception areas familiar to all visitors. To anyone of my generation (I was born in 1969), it instantly conjured up terrible memories of the Iranian hostage crisis of 1979 to 1981.

The protesters even shouted the same slogan — “Death to America” — as the Iranian hostage-takers. Mercifully, Tuesday’s embassy invasion ended without any Americans being harmed after Iraqi security forces belatedly arrived to restore order, but the demonstrators remain just outside the embassy walls.

This is another reminder that in the long-running conflict between the United States of America and the Islamic Republic of Iran, we have repeatedly been humbled and hurt by a smaller but more determined and ruthless adversary. Indeed, for the past 41 years, Iran has put on a master class in irregular warfare, leaving the United States flummoxed about how to respond.

In the 1980s, Iranian-backed forces took dozens of Americans hostage in Lebanon and demolished both the U.S. Embassy and the U.S. Marine barracks in Beirut with truck bombs that killed hundreds. President Ronald Reagan was so desperate to free the hostages that he was willing to sell missiles to Iran — a backroom maneuver that blew up into the biggest scandal of the Reagan administration after the proceeds were secretly diverted to the Nicaraguan Contras.

In 1987, Reagan sent U.S. naval forces to prevent Iran from closing the Persian Gulf as part of its war against Iraq. One U.S. Navy frigate was nearly sunk by an Iraqi missile and another by an Iranian mine, but U.S. forces inflicted heavy damages on Iran’s Revolutionary Guard Navy and accidentally shot down an Iranian passenger airliner.

This was the first and last time that U.S. and Iranian forces engaged in direct battle. Iran prefers to do most of its damage via proxies. Following the U.S. invasion of Iraq in 2003, Iranian-sponsored Shiite militias killed hundreds of U.S. service members. President George W. Bush condemned Iran as part of the “Axis of Evil,” but wisely decided against escalating hostilities. The United States was mired in enough wars without starting another one against a nation of 81 million people.

The Iranians took advantage of Bush’s ill-advised decision to overthrow their nemesis Saddam Hussein to extend Iranian influence across Iraq under the very noses of American occupiers. Iran was already the dominant player in Lebanon. In the past two decades, it has become the dominant player in Iraq, Syria, and Yemen, too. The new Persian Empire stretches from Tehran to Beirut.

The only effective U.S. response to the Iranian threat since Reagan’s tanker war was President Barack Obama’s decision to conclude a deal with Iran in 2015 that would freeze its nuclear program. The deal did nothing to curb Iran’s regional power play and may have even fueled it by lifting economic sanctions — which is why I and others opposed it at the time.

But it did at least stop Iran’s development of nuclear weapons. President Trump blundered by exiting the nuclear deal in 2018 and imposing economic sanctions on Iran in 2019, even though it was complying with the agreement

Pushed into a corner, Iran and its proxies have lashed out by allegedly attacking oil tankers in the Persian Gulf, shooting down a U.S. drone, hitting a major Saudi oil facility with cruise missiles — and now rocketing a compound near Kirkuk, Iraq.

The latter attack, which killed an American contractor and injured four U.S. troops on Friday, led Trump to retaliate with airstrikes across Iraq and Syria that killed 25 members of Kataib Hezbollah, the Iranian-backed militia blamed for the rocket attack, and sparked anti-American outrage. The embassy invasion on Tuesday was Iran’s riposte to make clear that it will not bow to American pressure. Your move, Mr. Trump

The United States has only two ways out of this escalating crisis: fight or negotiate. A war with Iran, as I have previously argued, could be the mother of all quagmires; it could easily spin out of control with tit-for-tat responses of the kind we have seen in recent days. Better to negotiate. That would mean trying to rebuild a tougher nuclear deal in return for the lifting of U.S. sanctions.

But Trump shows little interest in either seriously negotiating or fighting. He has waged economic warfare on Iran while doing nothing to curb its regional aggression; indeed, by withdrawing U.S. troops from part of northern Syria, he has allowed an extension of Iranian influence. So we are left with the worst of all possible worlds: Iran is once again waging a low-intensity conflict, and America once again has no effective response.

Source: The Washington Post
 
D.Trump hataki vita, Trump siyo warmonger kama Obumer. Ndo maana D.Trump alimfuta kazi warmonger John Bolton.

Long live D.Trump!
 
I'm certain that, if Trump was among the warmongers, then today, the news media would have the better titles bolded on their front pages.

Trump is good at damage controlling, whoever against America should atleast be thankful to Trump.
 
The Military Industrial Complex accounts for a large sum of American Economy: 10% of 2 trillion of America's Industrial Output goes to weapons manufacturing. This signifies that like ancient Rome, America has become a war economy: War is good for America's Economy.

Do you think Donald Trump, (no matter how good his intentions are) can defeat the Military Industrial Complex ???
 
Ndo maana ya impeachment, hakuna kosa D.Trump amefanya, lkn deep state inamchukia D.Trump shauli hataki vita, na war is money, ndo maana wanataka kumtoa kwa kwa mlango wa nyuma lkn D.Trump na yeye ni mjanja kuliko wao anarudi kwa base yake ambayo iko loyal kwake from day 1 hivyo hawawezi kumuondoa na Uchaguzi ujao ni land slide kwa D.Trump.
 
Ndo maana ya impeachment, hakuna kosa D.Trump amefanya, lkn deep state inamchukia D.Trump shauri hataki vita, na war is money, ndo maana wanataka kumtoa kwa kwa mlango wa nyuma lkn D.Trump na yeye ni mjanja kuliko wao anarudi kwa base ambayo iko loyal kwake from day 1 hivyo hawawezi kumuondoa na Uchaguzi ujao ni land slide kwa D.Trump.
Kumbe una kichwa kizuri....sasa kwanini unazidisha ushabiki huku nyumbani
 
Ndo maana ya impeachment, hakuna kosa D.Trump amefanya, lkn deep state inamchukia D.Trump shauri hataki vita, na war is money, ndo maana wanataka kumtoa kwa kwa mlango wa nyuma lkn D.Trump na yeye ni mjanja kuliko wao anarudi kwa base ambayo iko loyal kwake from day 1 hivyo hawawezi kumuondoa na Uchaguzi ujao ni land slide kwa D.Trump.
Good Observation Mkuu! But do you think American Economy can survive without the Military Industrial Complex, whose merchants of death bring home good bounty of war such as arms contracts, employment and other major investment deals ???​
 
The Military Industrial Complex accounts for a large sum of American Economy: 10% of 2 trillion of America's Industrial Output goes to weapons manufacturing. This signifies that like ancient Rome, America has become a war economy: War is good for America's Economy.

Do you think Donald Trump, (no matter how good his intentions are) can defeat the Military Industrial Complex ???
Uko sahihi...ninavyomjua Trump, angekuwz ameruhusu shambulio la leo kwa hiyari yake...angetoka kivingine huko Twitter siyo kwa staili aliyokuja nayo.
 
kudadadeki wa iran wanaropoka ropoka tu saizi huko baada ya kuhuswa panapowauma,,,,, Wanatia huruma mno!!!
 
Uko sahihi...ninavyomjua Trump, angekuwz ameruhusu shambulio la leo kwa hiyari yake...angetoka kivingine huko Twitter siyo kwa staili aliyokuja nayo.
Mkuu habari za masiku. Turudi madani:

Mwaka 1961 Raisi wa Marekani Jenerali Dwight Eisenhower anavyoaga alitoa hotuba na akawaonya wamarekani kwa kusema "Be ware of the Military Industrial Complex" . Ukweli ulikuja kujulikana miaka ya 80's kwamba nani ndiye anaendesha sera ya mambo ya nje ya Marekani na hawa maraisi huwa wanapelekeshwa sana na makundi yenye nguvu.

Hivi unafahamu Urusi ilivyoanguka Raisi George Bush alipata msongo wa mawazo kwasababu alijua Wamarekani wangesema bajeti ya jeshi ipunguzwe hivyo kupelekea makampuni makubwa ya silaha, ulinzi na mafuta (The Military Industrial Complex) kupata hasara na uchumi kushuka.

Ndiyo wakaja na mkakati mpya (The Wolfowitz Doctrine) wa mwaka 1992 ambao ilikuja kuandikwa vizuri na Colin Powell na Dick Cheney. Paul Wolfowitz alitoa mkakati utao hakikisha uhai wa The Military Industrial Complex pamoja na uchumi wa Marekani kwa miaka mingi ijayo. Huu mkakati ndo umeiingiza Marekani kwenye mitafaruku isiyoisha duniani kote: It's all about the money.

Sasa ndiyo maana nawauliza wadau wangu hapa kwamba wanadhani Donald J Trump anaweza kushindana na hili dubwasha la The Military Industrial Complex ambalo ni kitovu cha uchumi wa Marekani ???
 
I'm certain that, if Trump was among the warmongers, then today, the news media would have the better titles bolded on their front pages.

Trump is good at damage controlling, whoever against America should atleast be thankful to Trump.
Imetangazwa kwamba baada ya shambulio la Janerali Sulemani hisa za makampuni makubwa ya silaha nchini Marekani zimepaa ghafla: Raytheon, Lockheed Martin na Northrop Grumman wanasherehekea sasa.

Bado unadhani haya maamuzi ya Donald Trump ya kutotaka vita yana uzito wowote kwenye mazingira ya nchi kama ya Marekani ??? Hebu tujadili.....

NB: Pia tukumbuke kwamba hisa za makampuni mengine muhimu zimedondoka huku za makampuni ya silaha zikipanda.

TUJITEGEMEE, Barbarosa, Root
 
Bado unadhani haya maamuzi ya Donald Trump ya kutotaka vita yana uzito wowote kwenye mazingira ya nchi kama ya Marekani ??? Hebu tujadili.....

NB: Pia tukumbuke kwamba hisa za makampuni mengine muhimu zimedondoka huku hiza makampuni ya silaha zikipanda.
Mkuu, mwanzo nilipozipata habari za Marekani kuongozwa na 'deep state' yaani elite fulani hivi tena walionje ya White House sikuziamini. Tena nikapata wana JF nguli hapa jukwaani wakasisitiza US inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na demokrasia iliyotukuka. Lakini kadri nilivyozidi kufuatilia masuala haya kwa taarifa zilizowazi mitandaoni nikagundua kweli, kuna nguvu ya ziada tena kubwa ya uendeshaji wa Marekani kuliko nguvu ya WH na Pentagon tunazofikiria.

Nikijikita kwenye mjadala huu!
Ukweli siwezi kuendelea kudhani kuwa Trump ana ubavu wa kimaamuzi ya kukataa vita visianzishwe na nchi yake huko ugenini. Maana imejidhihirisha sasa kuwa makampuni ya silaha yameweka lobbyists wa kutosha huko Pentagon na WH kuhakikisha biashara inafanyika kwa namna yoyote ile na wapigadebe hawa wanafanya kazi yao barabara. Kazi inafanyika barabara, maana kubadili maamuzi ya kichwa ngumu na mwenye majivuno kama Trump, si kazi ya kitoto.

Inasemwa pia kuwa si hisa za makampuni ya silaha tu zilizopanda thamani bali hata makampuni ya mafuta pia hisa zao zimepanda thamani. Tukumbuke siku si nyingi Trump alitamba kuwa sasa US ndiye mzalishaji wa mafuta mkubwa ulimwenguni. Unganisha nukta hapo.

Inasemwa pia kuwa nguvu ya US hasa imejikita kwenye nguvu ya ela yake(dollar) kutumika kibiashara ulimwenguni hasa mafuta, teknolojia, sekta silaha, mifumo ya fedha. Mambo haya nadhani ndiyo aliiwezesha hasa kuwa super power na kuanza kutumia unipolar system brutally kwa nchi nyingine. Sasa ni kwa kuchoshwa na unipolar system hii ya US, nafikiria washindani/wapinzani wa US kama China na Russia wakaanza kutafuta mbinu ya kudhoofisha nguvu za US.

Washidani hawa wameanza kukataa kutumia dollar kwenye biashara zao(tuna petroyuan); teknolojia sasa China anamkimbiza US na 5G/6G, kwenye space nchi washiriki zimeongezeka, mifumo ya kuunga internet ushindani wa kutosha n.k; mifumo ya fedha nchi nyingi zimetafuta mbadala wa Swift ambayo inanatumiwa vibaya na US, BRICS ameanza kuwa na mifumo yake ya kibenki kukwepa IMF na WB; na kwenye silaha ndipo sasa Russia kaamua kukaza msuli asymmetrical kwa kufanya silaha ghali za US kuwa useless kwa silaha bora na za kisasa lakini za bei ndogo za Russia. Hili limewachanganya sana. Wamarekani.

Nadhani anachotaka kufanya US kwa sasa nikuhakiksha anaendelea kudhibiti visima vyake hapo Mashariki ya kati kwa kuiyumbisha nchi Tata Iran ambayo inatishiia kufunga strait of Hormuz inayopitisha mabilioni ya galoni za mafuta. Ikishindikana kumdhibiti Iran, nasikia US na plan B, atapitisha mafuta yake na gesi kutoka hapo Middle East kwenda Ulaya kupitia kwa mshirika wake Israel kupitia Cyprus, Greece na hatimaye Italy. Mpango hupo tayari maana juzi Netanyahu aliwasainisha Cyprus na Greece mkataba wakupitisha bomba la mafuta/gesi nchini mwao. Hii ni baada ya mpago wake wakupitisha bomba lake kutoka Kuwait, Iraq ,Syria, Turkey kushindikana.

Kwa majumuisho, nikuwa taasis ya urais ya Marekani ni picha haina mamlaka ya juu kabisa kama inavyooneka hasa kwenye masuala mengi ya kimaamuzi bali nguvu iliyojificha ya industrial complex. Na wapinzania wa Marekani wameanza kuishughulikia nguvu halisi ya Marekan badala ya kuangaika na WH. Kuna uwezekano washindani hawa wa US wakafanikiwa.

Mchango wangu ndio huo na unaweza kuwa na mapungufu kadhaa!
 
Imetangazwa kwamba baada ya shambulio la Janerali Sulemani hisa za makampuni makubwa ya silaha nchini Marekani zimepaa ghafla: Raytheon, Lockheed Martin na Northrop Grumman wanasherehekea sasa.

Bado unadhani haya maamuzi ya Donald Trump ya kutotaka vita yana uzito wowote kwenye mazingira ya nchi kama ya Marekani ??? Hebu tujadili.....

NB: Pia tukumbuke kwamba hisa za makampuni mengine muhimu zimedondoka huku hiza makampuni ya silaha zikipanda.

TUJITEGEMEE, Barbarosa, Root
Mkuu, kwamba yeye anataka au anasimamia wapi ni jambo moja, na kile kinachotokea ni jambo lingine.
Niliwahi ku comment nahala humu Jukwaani kwamba hata huyo Iran jeuri yake inatengenezwa na kuchongwa na wamarekani wenyewe, hata inapotokea vita katika nchi fulani na kupelekea US kuingilia au kupigana basi ieleweke vita hiyo hupiganishwa na hao 'Deep State'.

Wnashindwana wakiwa Washington then wanahamishia vita halisi kwenye 'necessary or chosen field'.
Ndani ya CIA watu kamwe hawaaminiani maana hawajui wamefikaje au wameingiaje pale, wengine hawamjui bosi wao ni nani na mara nyingi hata hawajui taarifa wanazozikusanya na kutumwa Langley kwa ajili ya uchakatwaji ni taarifa za nini, na wala hata hamjui adui wala rafiki yao halisi na wa kweli yupi....
 
Mkuu, mwanzo nilipozipata habari za Marekani kuongozwa na 'deep state' yaani elite fulani hivi tena walionje ya White House sikuziamini. Tena nikapata wana JF nguli hapa jukwaani wakasisitiza US inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na demokrasia iliyotukuka. Lakini kadri nilivyozidi kufuatilia masuala haya kwa taarifa zilizowazi mitandaoni nikagundua kweli, kuna nguvu ya ziada tena kubwa ya uendeshaji wa Marekani kuliko nguvu ya WH na Pentagon tunazofikiria.

Nikijikita kwenye mjadala huu!
Ukweli siwezi kuendelea kudhani kuwa Trump ana ubavu wa kimaamuzi ya kukataa vita visianzishwe na nchi yake huko ugenini. Maana imejidhihirisha sasa kuwa makampuni ya silaha yameweka lobbyists wa kutosha huko Pentagon na WH kuhakikisha biashara inafanyika kwa namna yoyote ile na wapigadebe hawa wanafanya kazi yao barabara. Kazi inafanyika barabara, maana kubadili maamuzi ya kichwa ngumu na mwenye majivuno kama Trump, si kazi ya kitoto.

Inasemwa pia kuwa si hisa za makampuni ya silaha tu zilizopanda thamani bali hata makampuni ya mafuta pia hisa zao zimepanda thamani. Tukumbuke siku si nyingi Trump alitamba kuwa sasa US ndiye mzalishaji wa mafuta mkubwa ulimwenguni. Unganisha nukta hapo.

Inasemwa pia kuwa nguvu ya US hasa imejikita kwenye nguvu ya ela yake(dollar) kutumika kibiashara ulimwenguni hasa mafuta, teknolojia, sekta silaha, mifumo ya fedha. Mambo haya nadhani ndiyo aliiwezesha hasa kuwa super power na kuanza kutumia unipolar system brutally kwa nchi nyingine. Sasa ni kwa kuchoshwa na unipolar system hii ya US, nafikiria washindani/wapinzani wa US kama China na Russia wakaanza kutafuta mbinu ya kudhoofisha nguvu za US.

Washidani hawa wameanza kukataa kutumia dollar kwenye biashara zao(tuna petroyuan); teknolojia sasa China anamkimbiza US na 5G/6G, kwenye space nchi washiriki zimeongezeka, mifumo ya kuunga internet ushindani wa kutosha n.k; mifumo ya fedha nchi nyingi zimetafuta mbadala wa Swift ambayo inanatumiwa vibaya na US, BRICS ameanza kuwa na mifumo yake ya kibenki kukwepa IMF na WB; na kwenye silaha ndipo sasa Russia kaamua kukaza msuli asymmetrical kwa kufanya silaha ghali za US kuwa useless kwa silaha bora na za kisasa lakini za bei ndogo za Russia. Hili limewachanganya sana. Wamarekani.

Nadhani anachotaka kufanya US kwa sasa nikuhakiksha anaendelea kudhibiti visima vyake hapo Mashariki ya kati kwa kuiyumbisha nchi Tata Iran ambayo inatishiia kufunga strait of Hormuz inayopitisha mabilioni ya galoni za mafuta. Ikishindikana kumdhibiti Iran, nasikia US na plan B, atapitisha mafuta yake na gesi kutoka hapo Middle East kwenda Ulaya kupitia kwa mshirika wake Israel kupitia Cyprus, Greece na hatimaye Italy. Mpango hupo tayari maana juzi Netanyahu aliwasainisha Cyprus na Greece mkataba wakupitisha bomba la mafuta/gesi nchini mwao. Hii ni baada ya mpago wake wakupitisha bomba lake kutoka Kuwait, Iraq ,Syria, Turkey kushindikana.

Kwa majumuisho, nikuwa taasis ya urais ya Marekani ni picha haina mamlaka ya juu kabisa kama inavyooneka hasa kwenye masuala mengi ya kimaamuzi bali nguvu iliyojificha ya industrial complex. Na wapinzania wa Marekani wameanza kuishughulikia nguvu halisi ya Marekan badala ya kuangaika na WH. Kuna uwezekano washindani hawa wa US wakafanikiwa.

Mchango wangu ndio huo na unaweza kuwa na mapungufu kadhaa!
Kuna nadharia aliwahi kuandika Professor Noam Chomsky, kuhusu kitu kinaitwa Manufactured Consent: Ambapo anasema kwamba siku hizi hakuna demokrasia Marekani kwasababu kile ambacho wanahisi ni uhuru wa mawazo ukweli ni kwamba kinatengenezwa kupitia mashine zenye nguvu za propaganda kama vyombo vya habari (The Mainstream Media), vyombo vya kutolea elimu (Academia), and vyombo vya burudani (The entertainment industry) ambavyo hufanya kazi kwa ujirani sana na Serikali ya Marekani.

Sasa tukirudi kwenye mada yetu kuhusu The Military Industrial Complex and The Deep State kweli ni vitu ambavyo vipo na vinaongoza sera ya mambo ya nje ya Marekani kwa kiwango kikubwa.

Zamani kabla ya The Deep State watu walikiita The Shadow Government lakini wakaishia kuitwa Conspiracy Theorists. Marekani hata Raisi awe na nguvu kiasi gani kuna mipaka huwa hawezi kuvuka na akitaka kuvuka lazima yamtokee puani.

Nakupa mfano, Raisi Franklin Delano Roosevelt ndiyo aliyeifanya Marekani kuwa hapa ilipo leo. Lakini wakati anapanga The New Deal mwaka 1933 na kuzuia matumizi ya dhahabu (The Gold Standard) kuna kundi la matajiri wa Marekani wakiongozwa na Benki ya JP Morgan walitaka kumpindua na kumuweka Jenerali Smedley Butler kuwa dikteta wa kifashisti.

Busara ndizo zilitumika baada ya Raisi Roosevelt kuwashauri hao matajiri kwamba anafanikisha kuitoa Marekani kwenye mporomoko wa kiuchumi ambao uliathiri dunia tokea mwaka 1928. Ndiyo maana jamaa alikaa madarakani muda mrefu isivyo kawaida. Nalo hili watu walisema ni Conspiracy Theory mpaka juzi juzi ambapo nyaraka zake zilitolewa.

Marekani kuna hatari sana na kama Raisi Vladmir Putin alivyosema kwamba mfumo wa madaraka wa Marekani ni mkubwa mno (Extreme Bureaucracy) ambapo mtu mmoja tu akiwemo Raisi wa nchi mmoja hawezi kuubadilisha pale anavyotaka.

Tafuta vitabu hivi, Midnight in the American Empire: How Corporations and their Political Servants are destroying the American Dream na How Everything became War and the Military Became Everything: Tales from the Pentagon.

Mambo mengi yanayotokea leo hii yaliandikwa na hawa waandishi miaka michache nyuma, unafika mahali unajiuliza kwamba hawa watu waliwezaje kuyafahamu haya mambo......
 
Mkuu, kwamba yeye anataka au anasimamia wapi ni jambo moja, na kile kinachotokea ni jambo lingine.
Niliwahi ku comment nahala humu Jukwaani kwamba hata huyo Iran jeuri yake inatengenezwa na kuchongwa na wamarekani wenyewe, hata inapotokea vita katika nchi fulani na kupelekea US kuingilia au kupigana basi ieleweke vita hiyo hupiganishwa na hao 'Deep State'.

Wnashindwana wakiwa Washington then wanahamishia vita halisi kwenye 'necessary or chosen field'.
Ndani ya CIA watu kamwe hawaaminiani maana hawajui wamefikaje au wameingiaje pale, wengine hawamjui bosi wao ni nani na mara nyingi hata hawajui taarifa wanazozikusanya na kutumwa Langley kwa ajili ya uchakatwaji ni taarifa za nini, na wala hata hamjui adui wala rafiki yao halisi na wa kweli yupi....
Kuna kitabu kimeandikwa na mwanahistoria David Talbot kinaitwa The Devil's Chessboard:Allen Dulles, the CIA and the Rise of America's Secret Government. Humo ndani mwandishi anaelezea kwamba CIA ni chombo cha ajabu mno ambacho kiuhalisia hakiwajibiki kwa mtu hata kwa Raisi wa nchi.

Anasema The Dulles Brothers ni moja kati ya watu waliowahi kuwa na nguvu kubwa sana nchini Marekani na walimshinda hadi Raisi John F Kennedy. Mwanzoni mwa utawala wa Kennedy, 1961 kulikuwa na uasi mkubwa wa kijeshi kwenye koloni la Ufaransa la Algeria (Algiers Putsch) ambapo yalilalizimisha serikali ya Jenerali Charles De Gaulle kutii matakwa yao ya kutoruhusu Algeria iwe nchi huru kwa kuogopa ukomunisti.

Paris wakapiga simu Washington kuuliza kwanini majasusi wenu wanataka kuivuruga Ufaransa ??? Raisi Kennedy akashituka sana na kusema kwamba yeye hana ufahamu wowote ule kuhusu huo mkakati. Kumbe Mkurugenzi Allen Dulles ndiyo kauratibu mkakati mkubwa hivyo bila idhini ya Raisi. Sasa kama walifanya hivyo miaka ya 1961 leo hii watakuwa wanafanya nini ???

JF Kennedy alimfukuza kazi Allen Dulles, na kuahidi kuivunja CIA vipande vipande lakini kumbe Dulles alikuwa bado ni mkurugenzi kivuli (The Shadow Director) ambaye alikuwa anakaa kwenye nyumba ya siri ya CIA huku akiendelea kuendesha mfumo. Talbot anasema kwamba Lee Harvey Oswald alikuwa anapokea amri kutoka kwa wakina Dulles.

Sasa nini kilitokea: JF Kennedy kauwawa aliyekuwa mwenyekiti wa The Warren Commission iliyochunguza kifo cha Raisi unajua alikuwa nani ??? Allen Dulles, mtu yuleyule ambaye Kennedy alimfukuza kazi kwa kufanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za nchi.

Mwisho kabisa: Raisi wa Marekani Harry S Truman kwenye kumbukizi zake (Memoirs) aliandika majuto yake ya kutoridhishwa na mwenendo wa CIA na akasema hakutegemea kwamba ingegeuka kuwa vile. Anasema vyeo vya juu kabisa vya CIA vilijaa watoto wa matajiri wa WallStreet ambao walikuwa na ajenda zao wenyewe na wenye nguvu kubwa sana ya ushawishi na pesa.

Jambo hili Jenerali Dwight Eisenhower alikuja kuligundua baadae na kuna kipindi hadi yeye alikataziwa kufahamu nini kilichokuwa kinaendelea Area 51, akaamua kutishia kuvamia na nguvu ya jeshi ndiyo akaambiwa atume wawakilishi wa Ikulu ili wakakague kilichokuwa kinaendelea mle ndani. Haya siyo maneno yangu bali maneno ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Canada Paul Theodore Hellyer. (Japo wengi wanambishia)

Mwishoni kabisa anamaliza Uraisi wake mwaka 1961 Dwight Eisenhower naye alionekana kutoridhika na mwenendo wa The State of Security na aliwaonya sana Wamarekani kwamba " Be ware of the Military Industrial Complex".

Kitafute kitabu cha Talbot ni kizuri sana, kinafikirisha na kimejaa rejea za kutosha zenya kushawishi. Soma halafu toa hukumu yako mwenyewe.

NB: Jambo nalowaza ni kwamba tunasema Donald Trump ni mtu asiyependa vita lakini je kutopenda kwake vita kunaweza kubadilisha chochote kile nchini Marekani ??? Upande mwingine tusisahau kwamba Donald Trump ni sehemu ya mfumo wa Marekani unaopingana na mfumo mwingine wa Marekani lakini wote hao lengo lao ni moja na taasisi wanazozitumia ni zilezile tu.

TUJITEGEMEE, Barbarosa , Red Giant
 
Kuna kitabu kimeandikwa na mwanahistoria David Talbot kinaitwa The Devil's Chessboard:Allen Dulles, the CIA and the Rise of America's Secret Government. Humo ndani mwandishi anaelezea kwamba CIA ni chombo cha ajabu mno ambacho kiuhalisia hakiwajibiki kwa mtu hata kwa Raisi wa nchi.

Anasema The Dulles Brothers ni moja kati ya watu waliowahi kuwa na nguvu kubwa sana nchini Marekani na walimshinda hadi Raisi John F Kennedy. Mwanzoni mwa utawala wa Kennedy, 1961 kulikuwa na uasi mkubwa wa kijeshi kwenye koloni la Ufaransa la Algeria (Algiers Putsch) ambapo yalilalizimisha serikali ya Jenerali Charles De Gaulle kutii matakwa yao ya kutoruhusu Algeria iwe nchi huru kwa kuogopa ukomunisti.

Paris wakapiga simu Washington kuuliza kwanini majasusi wenu wanataka kuivuruga Ufaransa ??? Raisi Kennedy akashituka sana na kusema kwamba yeye hana ufahamu wowote ule kuhusu huo mkakati. Kumbe Mkurugenzi Allen Dulles ndiyo kauratibu mkakati mkubwa hivyo bila idhini ya Raisi. Sasa kama walifanya hivyo miaka ya 1961 leo hii watakuwa wanafanya nini ???

JF Kennedy alimfukuza kazi Allen Dulles, na kuahidi kuivunja CIA vipande vipande lakini kumbe Dulles alikuwa bado ni mkurugenzi kivuli (The Shadow Director) ambaye alikuwa anakaa kwenye nyumba ya siri ya CIA huku akiendelea kuendesha mfumo. Talbot anasema kwamba Lee Harvey Oswald alikuwa anapokea amri kutoka kwa wakina Dulles.

Sasa nini kilitokea m: JF Kennedy kauwawa aliyekuwa mwenyekiti wa The Warren Commission unajua alikuwa nani ??? Allen Dulles, mtu yuleyule ambaye Kennedy alimfukuza kazi kwa kufanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za nchi.

Mwisho kabisa: Raisi wa Marekani Harry S Truman kwenye kumbukizi zake (Memoirs) aliandika majuto yake ya kutoridhishwa na mwenendo wa CIA na akasema hakutegemea kwamba ingegeuka kuwa vile. Anasema vyeo vya juu kabisa vya CIA vilijaa watoto wa matajiri wa WallStreet ambao walikuwa na ajenda zao wenyewe na wenye nguvu kubwa sana ya ushawishi na pesa.

Jambo hili Jenerali Dwight Eisenhower alikuja kuligundua baadae na kuna kipindi hadi yeye alikataziwa kufahamu nini kilichokuwa kinaendelea Area 51, akaamua kutishia kuvamia na nguvu ya jeshi ndiyo akaambiwa atume wawakilishi wa Ikulu ili wakakague kilichokuwa kinaendelea mle ndani. Haya siyo maneno yangu bali maneno ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Canada Paul Theodore Hellyer. (Japo wengi wanambishia)

Mwishoni kabisa anamaliza Uraisi wake mwaka 1961 Dwight Eisenhower naye alionekana kutoridhika na mwenendo wa The State of Security na aliwaonya sana Wamarekani kwamba " Be ware of the Military Industrial Complex".

Kitafute kitabu cha Talbot ni kizuri sana, kinafikirisha na kimejaa rejea za kutosha zenya kushawishi. Soma halafu toa hukumu yako mwenyewe.

NB: Jambo nalowaza ni kwamba tunasema Donald Trump ni mtu asiyependa vita lakini je kutopenda kwake vita kunaweza kubadilisha chochote kile nchini Marekani ??? Upande mwingine tusisahau kwamba Doland Trump ni sehemu ya mfumo wa Marekani unaopingana na mfumo mwingine wa Marekani lakini wote hao wana lengo lao ni moja na taasisi wanazozitumia ni zilezile tu.
Dah..thanks mkuu, lazima nikitafute hiki kitabu.
 
Ndo maana ya impeachment, hakuna kosa D.Trump amefanya, lkn deep state inamchukia D.Trump shauli hataki vita, na war is money, ndo maana wanataka kumtoa kwa kwa mlango wa nyuma lkn D.Trump na yeye ni mjanja kuliko wao anarudi kwa base yake ambayo iko loyal kwake from day 1 hivyo hawawezi kumuondoa na Uchaguzi ujao ni land slide kwa D.Trump.
Kwamba trump hapendi vita acha uobgo na upotoshaji marekani inaingia vitani kama maslai yake yapo hatarini hats vita vya pili vya dunia aliingia vitani baada ya kuona maslai take yako hatarini

Moja ya kosa wamarekan wanajuta ni kutumia dhana yako hawapendi vita mpaka ayatollah kufanya mapinduzi

So far trump ameshindwa mzibiti Iran Kwa sababu Obama alitumia vikwazo lakin kipind cha kampeni trump kuahidi kuwa aggressive lakin amejikuta amerudi kule kule Kwa Obama anatumia vikwazo
 
Back
Top Bottom