International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, baada ya tuhuma nzito zilizotolewa na Mkuu wa Polisi, Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi amemshutumu...
0 Reactions
3 Replies
659 Views
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Mahakama hiyo...
1 Reactions
15 Replies
770 Views
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
https://www.instagram.com/reel/DJO2fzEC2Om/?igsh=MXM2cW1zd3Q2NDBqNw==
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe. "FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA...
13 Reactions
200 Replies
6K Views
Israel asee wanapewaga hype sana. Yani kupigana na magenge ya wahuni kama Kuluna (Hamas na Hezbollah) inawachukua karibu mwaka na nusu bila kufanikisha lengo lake la kuwakomboa mateka na...
25 Reactions
137 Replies
4K Views
Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un...
3 Reactions
2 Replies
713 Views
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha kazi Waziri wa Polisi Senzo Mchunu kuanzia mara moja, kufuatia tuhuma za ruswa zilizotolewa na Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa KwaZulu-Natal...
0 Reactions
4 Replies
478 Views
Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu...
0 Reactions
4 Replies
599 Views
Makamanda hawa wa Hamas kwa sasa ha tuko nao baada ya kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel
3 Reactions
3 Replies
362 Views
Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia...
3 Reactions
8 Replies
889 Views
Ni raia wa nchi ya Brazil. Kanisa hilo la Wasabato halijawahi kuwa na Kiongozi Mkuu wa asili ya Africa Erton Carlos Köhler (born June 26, 1969)[1][2] is...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja wa Ulaya umejikita katika mazungumzo, utulivu na ushirikiano mzuri wa pande mbili na Marekani. Ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa zamani...
0 Reactions
7 Replies
615 Views
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, amefariki dunia leo, Alhamisi tarehe 5 Juni 2025, akiwa na umri wa miaka 68. Taarifa rasmi kutoka kwa chama chake cha Patriotic Front imethibitisha...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
au sijui tusema wanaojulikana, hawa ndiyo wahamiaji ktk afrika huko australia, jionee mwenyewe … https://m.youtube.com/watch?v=Pvihe_J4cJE
1 Reactions
12 Replies
866 Views
HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA: Ndege isiyo na rubani ya Israel yaona magaidi wawili wakiwafyatulia risasi wanajeshi wa IDF kaskazini mwa Gaza na kuwaangamiza.
3 Reactions
21 Replies
752 Views
Putin officially bans satanism in Russia, declares the occult a ‘cultural threat to civilization.’ The satanic temple on it's part says Russian children should have the opportunity to choose...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Mbona hii theory kama inaanza ku-make sense wakuu Naanza kuamini huyu mke wa Macron kweli ni mwanaume Mahakama ya Rufaa ya Ufaransa imebatilisha hukumu dhidi ya wanawake wawili...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom