Why doesn't the US just leave Iran alone?

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,486
3,468
ANSWER: Billions and BILLIONS of dollars of oil revenue at stake and US ambition to remain No. 1 World leader in terms of economic
prowess, military power and political influence.

Iran would like to use that money to develop their population. In fact, they HAD it, in 1953. The world was good. Iran has oil, HUGE potential revenues coming in, and a NEW democratically elected PM. British Petroleum had a good cut out of the petrol revenue.
They dredged the harbors, built a few oil terminals and in their greed to get more and the resistance from the then PM forced them to approached the US through CIA to depose the Iranian PM
.
In response to BP request, the CIA deposed the Iranian PM. This they did, and put in place the Shah of Iran.
The Shah in turn reopened all the oil contracts, and the winners of these contracts were BP and the US.
The problem was the Shah, He was a control freak and had 30,000 of his enemies tortured by the state security services,
called SAVAK. Many of them died. Iran also didn’t have a lot of money - because BP and Shell had to take a huge cut
[To recover the coup costs???].
In response to this, the Iranian people went to the only people that the Shah hadn’t killed - the mullahs.
The mullahs deposed the Shah, and rebelled. They put into power their own, and - just to keep the American fleet off them -

Iranians just want to be left alone, and to export their oil but the US just does not want to leave them alone.
Looking at the issue in purely Realpolitiks manner, US stand is understandable because the lust of Iranian oil and its strategic importance, it is not in their national interest to leave Iran alone.

United States is an undisputed super power and despite various emerging competitors it wants to remain that throughout 21st century. US military strategists and policy makers believe they can actually pull this off, but will require enormous effort to reshape the world. US is leader in 3 areas and safeguarding it could maintain American power; -.
US financial and economic system is dominant, therefore control of capital and trading routes is required for 21st century leadership.
US military is dominant military, therefore controlling, encirclement and hammering of potential rival militaries is required for 21st century leadership.
US ideology is dominant ideology, therefore spread of western liberalism and eradication of rival ideologies is required for 21st century leadership. Based on these principle the foreign policy makers have forged the following objectives for US military for 21st century; - 1. Militarily containment and encirclement of China and Russia;
2. Control of global maritime trade routes, particularly choke points (e.g. South China Sea, Strait of Malacca, Gibraltar).
3. Destruction of Islam as a political ideology (particularly Sunni Islam).
4. Prevention of nuclear proliferation, and de-nuclearization of adversaries.
5. Protection and security of Israel.
6. Reshaping of greater middle east.

Iran on another hand ticks too many boxes for US to just leave them alone. Going through some reasons being: -
1. Iran is a strategically very important ally of Russia which have helped Russia spreading it’s influence in middle east
way outside of Russian neighborhood.
2. China too wants to establish its own military presence in Arabian Sea and Persian Gulf to secure its oil supply, and Iran
at Strait of Hormuz is a dangerous mix.
Even though US is more worried about Sunni Islamism, but also worries if Iran’s potential export of its political ideology can
create issues in future.
US also wants to make sure that Iran does not become nuclear power ever, and Iran is hostile to Israel and sits in midst of middle-east which US wants to re-shape.
US wants to create 2 independent ethnic countries in the region, Kurdistan and Baluchistan. Both will require Iran to be carved to accommodate them. US have capacity to wreak havoc on Iran directly, but attrition on US dominance will be significant and not in their best interest. US policy makers believe they can achieve their objectives with Iran in 2 phases;
1. Iran will be forced dismantled its regional military dominance including its proxy war fighting capabilities and ballistic missile
program under threat of war[Once Iran’s military power is contained];
2. US will arm,fund and organize proxy militant groups& proxy civil movements to attain those objectives.
Right now, US is carefully deploying its propaganda machinery to create a bluff that US might go to war, to scare Iranian gov to agree to a new Iranian deal. US wants to keep Iran under threat of war, and at the same time use Iranian threat to create panic in Arab world and reshape entire greater middle east from Turkey to Pakistan to Yemen both ideologically and physically.
 
Mimi nina haya machache ya kuzungumza kuhusu Iran:

Mosi, waziri mkuu wa Iran aliyepinduliwa mwaka 1953 hakuwa tu kiongozi wa kawaida au labda mkomunisti hadi apinduliwe. Mohammed Mosadegh alikuwa ni kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na watu wa Iran.

Hivyo huyu alikuwa ni muumini wa falsafa ya demokrasia ambayo mataifa ya kibepari yanaihubiri mpaka leo. Kosa kubwa alilolifanya ni kutaka kula meza moja na mzungu kwa kutaifisha biashara yao ya mafuta kwa manufaa ya watu wake.

Marekani, Uingereza na Ufaransa hawawezi kukubali mtu wa jamii tofauti na wao akae meza moja nao akinufaika na rasilimali zake. Wao huamini kwamba kila rasilimali hapa duniani ni ya kwao kuitumia watakavyo kwasababu hii ni Haki yao ya kuzaliwa.

Ushahidi wa hili ni mdogo tu, nchi kama Ujerumani ndiyo ilistahili idondoshewe yale makombora ya kiatomiki mwaka 1945 kwa madhambi ambayo iliyatenda kwa dunia. Lakini cha kushangaza makombora yalidondoshwa kwa waasia ambao wao walipiga Pearl Harbour na kuvamia Uchina na Korea.

Pili, Iran ni nchi ya kishia wala siyo ya kisuni hivyo wewe kusema lengo la Marekani ni kuuvuruga Uislamu tena ule wa kisuni mimi nasema tuangalie tena vizuri au huenda ni kweli lakini tukiangalia kesi ya Iran tunajifunza haya yafuatayo:

Marekani anataka mafuta tu, huku akisaidiwa na washirika wake wa karibu ambao ni Waislamu wa Kisuni (Saudi Arabia na UAE). Washirika wake wanataka kuzima nguvu ya ushawishi wa Iran ikiwemo mfumo wa Uishia wa Iran ambao unaanza kuimarika hadi nje ya mipaka ya Iran. Hivyo kusema Marekani anataka kuuvuruga uislamu hasa ule wa Usuni katika wakati huohuo anashirikiana na Wasuni kufanya hivyo nadhani siyo sahihi sana.

Tatu, makala imetoa mwanga mzuri sana lakini nadhani kwenye hili la Iran kuna watu muhimu sana ambao wanaonekana kama hawahusiki lakini wanahusika katika kiwango kilekile ambacho Marekani anahusika. Nchi kama Israel kwanini hajazungumziwa hapa ilhali yeye ndiyo kibaraka mkuu wa Marekani kule Mashariki ya kati akifuatiwa na Saudi Arabia ??

Nakupa ushahidi mzuri kabisa: Chanzo kikubwa cha Marekani kujitoa kwenye mkataba wa nyuklia (JCPOA) ni usalama wa Israel. Kama unakumbuka Israel peke yake aliweza kuwagawanya wamarekani kipindi cha Obama hadi ukatokea mvutano mkubwa sana na Raisi Obama kipindi ameenda Benjamini Netanyahu ameenda kuhutubia bunge la Marekani.

Binafsi nadhani kusema kwamba Iran anashambuliwa na Marekani peke yake nalo siyo sahihi, kwasababu mpaka mwaka 2015 Marekani alishakubali kukaa meza moja na Iran hadi wakaingia kwenye mkataba wa amani lakini aliyevuruga hii amani ni Serikali ya kizayuni ya Israeli. Kwanini haya huyasemi au na wewe unaogopa laana kutoka taifa teule ???

Nne, mwandiashi amezungumza kitu kikubwa ambacho mimi namuunga mkono hasa aliposema Iran ni eneo muhimu sana kimkakati kwa Urusi na baadhi ya mataifa kama Uchina. Kiufupi umuhimu wa eneo lile uko kisayansi sana: Huu upuuzi wa kuisogelea Iran haujaanza leo. Chanzo ni mtu aitwaye Professor Nicholas John Spykman ambaye alikuja na nadharia yake iitwayo The Rimland Theory ambapo aliwaambia wanasiasa wa Marekani kwamba mkitaka utajiri wa eneo la Urusi na dunia basi kamateni maeno yanayoizunguka kama Iran, Iran etc

Hivyo ukiangalia kwa umakini wanachofanya Wamarekani na wengine ni ufuasi wa hizi falsafa za kimabavu ambazo ziliandikwa na wanazuoni ambao malengo yao hayakuwa mazuri sana.

Tano, Marekani anafahamu kabisa kwamba akiishinda Iran na kufanikiwa kukamata mfereji wa Hormuz basi imekula kwa dunia nzima, tena adui yake kama Uchina ndiyo zaidi maana hatasaidiwa kabisa na The Belt Road Initiative maana haitakuwa rahisi kuchomoka kwa haraka. Kama Marekani akiamua kupeleka vikosi vya manowari pale Hormuz na Malacca basi imekula kwa Uchina kwasababu ile mifereji ndiyo inapitisha mafuta na bidhaa zake kwa wingi.

NB 1: Mambo ni mengi muda mchache, lakini kaa ukifahamu hata hayo mataifa ya Ulaya yaliyobaki kwenye ule mkataba wa JCPOA hayaitakii mema Iran: Historia inatufundisha somo gumu sana kwamba mataifa ya Marekani, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani wanaweza kufarakana lakini kuachana kabisa ni ngumu...

NB 2: Halafu ni kwanini Uingereza ameteka ile manowari ya Iran, ilhali na yeye ni mwanachama wa JCPOA ??? Ina maana Uingereza haogopi kuona Iran anatoka kwenye mkataba wa nyuklia ??? AU wanamchokonoa ili ajitoe ???

Mambo ni mengi, muda mchache......
Alamsik.
 
Sawa kaka.
Lakini we huoni hapo anaua ndege wawili kwa jiwe moja ?
America ana nia ya kuvuruga waislam sunni na mashia wote kwasababu anajua dheheb lolote la kiislam likipata nguvu shida itakuwepo.
Mfano muangalie mfalme baba ake na salman alikua hapatan na USA mpk kuja huyu salman.
Hapo jamaa anamtumia msunni ili amuangamize mshia.
Na hapo msuni na mshia wakikamatana amemaliza mzozo kabbisa.
Maana kaka hat mtu akitaka kumaliza ww na ndugu yako kwa pamoja atatafuta madhaifu ya kuwagombanisha kat yenu then anaamsha nyie mwakatana kimba.
Ndicho anachofanya US kwa hawa wawili sunni na shia.
Mimi nina haya machache ya kuzungumza kuhusu Iran:

Mosi, waziri mkuu wa Iran aliyepinduliwa mwaka 1953 hakuwa tu kiongozi wa kawaida au labda mkomunisti hadi apinduliwe. Mohammed Mosadegh alikuwa ni kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na watu wa Iran.

Hivyo huyu alikuwa ni muumini wa falsafa ya demokrasia ambayo mataifa ya kibepari yanaihubiri mpaka leo. Kosa kubwa alilolifanya ni kutaka kula meza moja na mzungu kwa kutaifisha biashara yao ya mafuta kwa manufaa ya watu wake.

Marekani, Uingereza na Ufaransa hawawezi kukubali mtu wa jamii tofauti na wao akae meza moja nao akinufaika na rasilimali zake. Wao huamini kwamba kila rasilimali hapa duniani ni ya kwao kuitumia watakavyo kwasababu hii ni Haki yao ya kuzaliwa.

Ushahidi wa hili ni mdogo tu, nchi kama Ujerumani ndiyo ilistahili idondoshewe yale makombora ya kiatomiki mwaka 1945 kwa madhambi ambayo iliyatenda kwa dunia. Lakini cha kushangaza makombora yalidondoshwa kwa waasia ambao wao walipiga Pearl Harbour na kuvamia Uchina na Korea.

Pili, Iran ni nchi ya kishia wala siyo ya kisuni hivyo wewe kusema lengo la Marekani ni kuuvuruga Uislamu tena ule wa kisuni mimi nasema tuangalie tena vizuri au huenda ni kweli lakini tukiangalia kesi ya Iran tunajifunza haya yafuatayo:

Marekani anataka mafuta tu, huku akisaidiwa na washirika wake wa karibu ambao ni Waislamu wa Kisuni (Saudi Arabia na UAE). Washirika wake wanataka kuzima nguvu ya ushawishi wa Iran ikiwemo mfumo wa Uishia wa Iran ambao unaanza kuimarika hadi nje ya mipaka ya Iran. Hivyo kusema Marekani anataka kuuvuruga uislamu hasa ule wa Usuni katika wakati huohuo anashirikiana na Wasuni kufanya hivyo nadhani siyo sahihi sana.

Tatu, makala imetoa mwanga mzuri sana lakini nadhani kwenye hili la Iran kuna watu muhimu sana ambao wanaonekana kama hawahusiki lakini wanahusika katika kiwango kilekile ambacho Marekani anahusika. Nchi kama Israel kwanini hajazungumziwa hapa ilhali yeye ndiyo kibaraka mkuu wa Marekani kule Mashariki ya kati akifuatiwa na Saudi Arabia ??

Nakupa ushahidi mzuri kabisa: Chanzo kikubwa cha Marekani kujitoa kwenye mkataba wa nyuklia (JCPOA) ni usalama wa Israel. Kama unakumbuka Israel peke yake aliweza kuwagawanya wamarekani kipindi cha Obama hadi ukatokea mvutano mkubwa sana na Raisi Obama kipindi ameenda Benjamini Netanyahu ameenda kuhutubia bunge la Marekani.

Binafsi nadhani kusema kwamba Iran anashambuliwa na Marekani peke yake nalo siyo sahihi, kwasababu mpaka mwaka 2015 Marekani alishakubali kukaa meza moja na Iran hadi wakaingia kwenye mkataba wa amani lakini aliyevuruga hii amani ni Serikali ya kizayuni ya Israeli. Kwanini haya huyasemi au na wewe unaogopa laana kutoka taifa teule ???

Nne, mwandiashi amezungumza kitu kikubwa ambacho mimi namuunga mkono hasa aliposema Iran ni eneo muhimu sana kimkakati kwa Urusi na baadhi ya mataifa kama Uchina. Kiufupi umuhimu wa eneo lile uko kisayansi sana: Huu upuuzi wa kuisogelea Iran haujaanza leo. Chanzo ni mtu aitwaye Professor Nicholas John Spykman ambaye alikuja na nadharia yake iitwayo The Rimland Theory ambapo aliwaambia wanasiasa wa Marekani kwamba mkitaka utajiri wa eneo la Urusi na dunia basi kamateni maeno yanayoizunguka kama Iran, Iran etc

Hivyo ukiangalia kwa umakini wanachofanya Wamarekani na wengine ni ufuasi wa hizi falsafa za kimabavu ambazo ziliandikwa na wanazuoni ambao malengo yao hayakuwa mazuri sana.

Tano, Marekani anafahamu kabisa kwamba akiishinda Iran na kufanikiwa kukamata mfereji wa Hormuz basi imekula kwa dunia nzima, tena adui yake kama Uchina ndiyo zaidi maana hatasaidiwa kabisa na The Belt Road Initiative maana haitakuwa rahisi kuchomoka kwa haraka. Kama Marekani akiamua kupeleka vikosi vya manowari pale Hormuz na Malacca basi imekula kwa Uchina kwasababu ile mifereji ndiyo inapitisha mafuta na bidhaa zake kwa wingi.

NB 1: Mambo ni mengi muda mchache, lakini kaa ukifahamu hata hayo mataifa ya Ulaya yaliyobaki kwenye ule mkataba wa JCPOA hayaitakii mema Iran: Historia inatufundisha somo gumu sana kwamba mataifa ya Marekani, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani wanaweza kufarakana lakini kuachana kabisa ni ngumu...

NB 2: Halafu ni kwanini Uingereza ameteka ile manowari ya Iran, ilhali na yeye ni mwanachama wa JCPOA ??? Ina maana Uingereza haogopi kuona Iran anatoka kwenye mkataba wa nyuklia ??? AU wanamchokonoa ili ajitoe ???

Mambo ni mengi, muda mchache......
Alamsik.
 
Ila kaka kuhusu hapo ktk nuclear kupigwa Hiroshima ilikusudiwa kupigwa pale kwasababu Japan alikua mshirika mkubwa wa Germany ktk world war 2.
Na alikuwa ameshamzidi nguvu US hvyo lile bomb lilipigwa ili kumpunguza nguvu Japan maana alikuwa ndiye mbishi ktk lile kundi lao.

Ila MKUU UMENENA VEMA SANA SALUTE TO YOU 10000%

Siyo kweli.
Vyombo vyote vya inteligensia ya marekani vilifahamu kuwa Japan ilikuwa taabani kivita
1.Tayari ilikuwa ilikwisha epoteza nguvu kazi kwa kiasi kikubwa
2.Viwanda vyake karibu vyote vya kutengeneza silaha vilikwisha hariibiwa na ndege za kimarekani.
Ukweli ni kwamba Japan haikuwa na uwezo tena kuendeleza vita ile kwa sababu
1. Watu wake walikuwa wamechoka na vita hiyo
2. Urusi nayo ilikuwa tayari inajitayarisha kuivamia Japan kwa upande wa pili
Binafsi ninadhani kuwa wamerekani walikuwa wanataka kulijaribu bomu lile kwenye nchi ambayo hawaishi wazungu [kwani wangeweza kufanyia hivyo Ulaya hasa 1944 wakati wajerumani waliteka karibu nchi zote za ulaya isipokuwa uingereza tu.] pia walitaka kuwazuiwa warusi wasivamie kisiwa kile

Mh mkuu shukran kwa elimu yako ila nitafanya tafiti kuweka uhakika zaidi.
Maana kuna movie ya hacksaw ridge ilitengenezwa ambayo based on true story of world war 2 .
Ilikuwa ni kwaajili ya kumuenzi au kumtukuza moja kat ya doctor jeshi aliyeenda kule.
Na yeye alikuwa akiokoa watu.
Inasemekana aliokoa more than 49 bodies ktk vita.
Yule mzee yupo hai but jina lake limeniporonyoka mwishowe wa movie mzee alikua akiongea kuwa "If the atomic could not be used,our marine cops could be wiped "
Alikuwa akisema kwamba wanajeshi wao walikua wakishambulia kutoka ktk manowari na wengi wao walikua wakifa maana wajapan waligeuka km waarabu walikua hadi wanajitoa muhanga ili kuua Mmarekan.
Kwa kile kitendo yule mzee anavyoelezea atomic bomb ilibidi itumike.
Ndipo wale japanese wali surrender mazima.
Asa sijajua bro itafute hyo movie umsikilize mzee mwishoni
 
Nitaitafuta ila ufahamu kuwa sinema nyingi za kimarekani zinapenda kuonyesha uzalendo wao kwa nchi yao kwani vinginevyo haziuzi
 
Back
Top Bottom