International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal, hatua inayomfanya mkoloni huyo wa zamani sasa kutokuwa na kambi yoyote ya kudumu ya kijeshi kote magharibi na kati ya...
3 Reactions
9 Replies
786 Views
Kiuhalisia taifa la Ufaransa linapaswa kuwa nchi maskini zaidi kuliko mataifa mengi ya Afrika.Hata hivyo kwa uzoefu wao wa ukoloni na unyonyaji wanaonekana kama taifa lililoendelea sana. Tanzania...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo. Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki CENCO, limesema...
1 Reactions
12 Replies
580 Views
Wakuu, Sema watu 100 ni wengi jamani tuacheni masihara. Alafu Trump huyu baba alipunguza budget ya National Weather Service (NWS) na kusababisha watu 600 kufukuzwa kazi. Leo majanga kama haya...
0 Reactions
9 Replies
627 Views
Rais Donald Trump amegundulika kuwa na tatizo la mzunguko wa damu kwenye miguu, linalojulikana kitaalamu kama chronic venous insufficiency, baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Ikulu ya...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema: “Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi...
0 Reactions
8 Replies
375 Views
Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025: Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza...
0 Reactions
18 Replies
914 Views
Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umevunjilia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji wa fedha. Badala yake Wizara ya Mambo ya Ndani itashughulikia uchaguzi katika siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Vijana wa miaka 16 na 17 wataweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao, kufuatia mpango wa serikali wa kushusha umri wa chini wa kupiga kura. Ahadi hiyo ni sehemu ya hatua kadhaa...
0 Reactions
8 Replies
480 Views
Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump kasema kuna habari njema huko Gaza! Julai 16, 2025 Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza bila kufafanua kuwa “kuna habari njema kuhusu Gaza” katika hafla ya Ikulu...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za muda huu ni kuwa Israel inashambulia Ikulu na Makao Makuu ya jeshi la Syria baada ya Majeshi ya Syria kuua watu wa jamii ya Druze. Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) limeilaani kwa...
3 Reactions
67 Replies
3K Views
Leading climate engineering and geoengineering expert Dane Wigington has taken a centre stage in warning about the escalating threats to Earth's biosphere. Dane Wigington has delivered this...
1 Reactions
4 Replies
559 Views
By Max Boot: Columnist Covering National Security. So it was all the more shocking to read that hundreds of supporters of Kataib Hezbollah, an Iranian-backed militia, broke into the compound on...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Baada ya tukio la kutumika kwa silaha za kemikali dhidi ya Raia linalodaiwa kutekelezwa na serikali ya Syria,Marekani ikiungwa na mkono na Ufaransa na Uingereza zimetoa matamko makali zote...
11 Reactions
495 Replies
41K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom