Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran.
Ndege...
Niaje waungwana
Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la...
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha...
Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025
Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa...
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95.
Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta...
Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake...
Baadhi ya wanachama wa kihafidhina wa vuguvugu la Donald Trump la "Make America Great Again" wamejibu kwa hasira mipango ya rais ya kuiuzia Nato silaha, wakisema ni usaliti wa ahadi yake ya...
Wanaukumbi
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa...
The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include:
1. Russia's desire for a sphere of influence:
Russia...
Niaje waungwana
Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa.
Lakini ukiisoma na kuijadili hii...
Wanunua tiketi kwa ajili ya kupataa nafasi ya kushinda jumba hili wakafika 500,000,
Kumaanisha kuwa mwamba aliishia kutengeneza Tsh 3.5bn, mara mbili ya bei aliokuwa ametangaza mwanzoni.😨...
Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC.
Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini...
BREAKING: Muhammad Nasser, gaidi wa Kipalestina aliyemshikilia Emily Damari nyumbani kwake huko Gaza, aliangamizwa kwa mafanikio na IDF.
Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote walio...
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.
Lakini hoja yangu ni hii :
Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe ...
Wasalaam,naangalia Sky news Dstv 402 wanadai UK kuvamiwa mda wowote kutokana na visasi vya mauaji ya waandishi wa habari wa Iran toka 2022.
Bado kuna fukuto mana leo kuna meli imepigwa huko...
Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya...
Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini...
Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.
Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa...
Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, baada ya tuhuma nzito zilizotolewa na Mkuu wa Polisi, Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi amemshutumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.