International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa...
0 Reactions
9 Replies
797 Views
Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran. Angalau magari matano ya...
2 Reactions
75 Replies
3K Views
Mamlaka za Ubelgiji zimesema ziliwakamata na kuwahoji kwa muda mfupi raia wawili wa Israel waliokuwepo kwenye tamasha la muziki la Tomorrowland wiki iliyopita, baada ya makundi yanayoiunga mkono...
6 Reactions
16 Replies
994 Views
Mr. Solomoni Mnkenyi, a farmer from Ikungi District, had been farming for more than 20 years using traditional methods. Though he had seen farmer groups in his village receiving training under the...
1 Reactions
0 Replies
572 Views
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu. Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza...
6 Reactions
109 Replies
4K Views
Wakuu mwezi wa 6 mwaka huu DRC iliomba kujiunga na EAC je tuikubalie?. Kwanza tuone hali ilivyo kwenye EAC. Sasa kuna nchi sita, Burundi, Kenya, Tanzania, South Sudan, Rwanda na Uganda. Maombi ya...
12 Reactions
79 Replies
10K Views
(parody) D.Trump kaposti obama akipigwa pingu, na kwamba hakuna aliye juu ya sheria …...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Iran says intelligence shows US girding for war - state TV 5 hours ago Updated 2:23 AM Share Iran has intelligence indicating that the United States is using diplomatic overtures as cover for...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Sasa ni zaidi ya mwaka, operation ya kijeshi ya Israel kuwaangamiza magaidi ya Hamas inaendelea, huku tayari wapalestina zaidi ya 57,000 wakiwa wameuawa, na wengi wakitajwa kuwa ni wananchi wa...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
BREAKING: Takriban watu 36,000 wa Gaza wameukimbia utawala wa Hamas tangu vita vilipoanza - wakiepuka kuingia wa kwenye ugaidi, machafuko, na kukata tamaa. Hamas wanajaribu sana kuwazuia wasitoke...
2 Reactions
5 Replies
416 Views
Baada ya miaka mingi ya machafuko na maelfu ya raia kutawanywa makwao, tumaini jipya limeanza kuchomoza mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo imefikia makubaliano...
2 Reactions
2 Replies
461 Views
Serikali ya China imefunga rasmi jukwaa la OnlyFans, ikilitaja kuwa ni mfano wa mmomonyoko wa maadili kutoka Magharibi. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya jukwaa hilo kufunguka kwa muda mfupi bila...
4 Reactions
6 Replies
882 Views
  • Closed
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa...
5 Reactions
107 Replies
5K Views
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya...
0 Reactions
7 Replies
595 Views
Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Friedrich Merz, amechaguliwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani siku ya Jumanne, katika duru ya pili ya upigaji kura, baada ya kushindwa kwa mshangao katika duru ya kwanza mapema siku hiyo. Merz...
2 Reactions
4 Replies
724 Views
Waziri mkuu wa China Li Qiang azindua ujenzi wa bwawa kubwa la kufua umeme katika eneo la Tibet. Bwawa hilo litakuwa na ukubwa mara tatu zaidi ya bwawa la Three gorges lililopo China na...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameapa kubaki madarakani, licha ya muungano wa chama chake tawala kupata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Juu, hali ambayo imezua mashaka ndani ya chama...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Back
Top Bottom