International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Waziri Mkuu wa Cambodia amesema kuwa lengo kuu la mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika leo July 28, 2025 na Thailand ni kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano mara moja kufuatia mzozo mkali wa...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza...
3 Reactions
3 Replies
365 Views
Wakuu, Chama tawala cha Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), United Hearts Movement (MCU), kimemteua Rais wa sasa Faustin-Archange Touadera kuwa mgombea wake wa urais Jumamosi. Uamuzi huo umefikiwa...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf ameunga mkono uamuzi wa kupiga marufuku matumizi ya simu za mkononi kwa wabunge, akieleza kuwa suala hilo linahusiana na masuala ya kiusalama. "Waheshimiwa...
0 Reactions
7 Replies
603 Views
Katika miaka ya hivi karibuni uwekezaji wa China katika miundombinu ya kidijitali, vituo vya data na nishati umekuwa ukiongezeka kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani. Wakati maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa na ushirikiano wa karibu na nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Ushirikiano huu unajumuisha sekta mbalimbali ikiwemo elimu, uchumi na...
1 Reactions
0 Replies
250 Views
China na Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano uliodumu kwa miongo mingi, huku pande hizo mbili zikiendeleza urafiki wa jadi. China, ambayo ni nchi kubwa inayoendelea, imekuwa mstari wa mbele...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
[emoji1134]The "Samson option" also includes American cities on the list of nuclear targets New leak reveals Israel's 'Samson Option' includes US cities on nuclear target list. A number of...
4 Reactions
9 Replies
922 Views
Vita ya kibiashara SINO-US Trade war imeonesha kumbe Uchina yuko mbele sana. Nani kushinda hii vita. Time will tell. Binafsi natamani sana nifike Beijing nasikia ni bonge moja la jiji.
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Volodymyr Zelensky alisema kuwa Ukraine imeiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu ya...
0 Reactions
8 Replies
692 Views
Muda kidogo uliopita, televisheni ya taifa ya Jordan iliripoti kwamba Jeshi la anga la Kifalme la Jordan limehusika katika operesheni na Umoja wa Falme za Kiarabu ya kudondosha "tani 25 za chakula...
0 Reactions
5 Replies
508 Views
Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa...
3 Reactions
10 Replies
542 Views
Camboja na Thailand zipo kuchapana kutokana na mzozo wa muda mrefu wa mpaka, hasa kuhusu maeneo yaliyo karibu na mahekalu ya kale kama Preah Vihear, chanzo kikiwa ramani zenye utata zilizochorwa...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa...
1 Reactions
6 Replies
555 Views
Haya wabongo mnavyopenda vita za nchi nyingine Tumeletewa mgogoro mwingine mpya kati ya Thailand na Cambodia Tujuane sasa nani mthailandi wa bonyokwa na mkambodia wa kisesa....
9 Reactions
17 Replies
1K Views
The Mask Comes Off! Israeli Knesset Receives "Plan" to "Expel Palestinians - Move 1.2 Million Jews Into Gaza" A new plan to settle Gaza with Israelis was presented in the Israeli Knesset today...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Trump: Hamas didn’t want to make a ceasefire deal, its leaders will be ‘hunted down’ US President Donald Trump declared Friday that Hamas isn’t interested in reaching a hostage deal and signaled...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
EU bigshots travel to China for trade negotiations but face a catastrophic failure." Leave early The self mposed bigshots of the European Union, European Commission President Ursula von der...
2 Reactions
1 Replies
700 Views
Back
Top Bottom