International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakazi wa Gaza wapatao milioni mbili (2,000,000) wanakaa katika maeneo ambayo majeshi ya Israeli hayapo. Katika ramani chini ya post, alama nyekundu ni maeneo ya Gaza yaliyokaliwa na Israeli...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Jumla ya wazayuni wapatao 1000 waliangamizwa na makombora ya Iran katika vita vya siku 12 vya Iran na Israel [emoji599] [emoji1134]HES site hacked — devastating Israeli losses revealed: 6...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo...
22 Reactions
130 Replies
5K Views
Sehemu ya 2 Kila sifa njema zinamstahiki Mungu wa pekee aliyetupa uzima, afya na ufahamu wa mambo haya. Rehma na amani ziwe nao manabii wa Mungu wote wakiongozwa na nabii wa mwisho nabii...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Hizi Nchi za Kusini mwa Afrika thnazoambiwaga ni tajiri na zimeendelea zinaonekana Zina hali ngumu sana ya maisha on grounds. Haiwezekani Nchi Tajiri wa Madini kama Namibia imeshindwa kutafuta...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi. 2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii 3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga 4.Botswana...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12. Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University )...
15 Reactions
110 Replies
4K Views
Habari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile...
5 Reactions
6 Replies
852 Views
Kesi ya rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila inafunguliwa leo mjini Kinshasa katika mahakama moja ya kijeshi mjini humo. Kabila anakabiliwa na kosa la uhaini, mauaji na...
2 Reactions
4 Replies
696 Views
The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
💰 He gave away $16 billion — and redefined what wealth really means. Meet Sulaiman bin Abdul Aziz Al Rajhi, the Saudi businessman who donated himself out of the billionaire club. At 95, he has...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeisifu Senegal kwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wake kupitia mageuzi muhimu, pamoja na kushirikiana na IMF kufafanua na kurekebisha taarifa...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Marine led pen alisitisha mkutano na mufti mkuu wa nchini Lebanon baada ya kukata kujistiri kichwa kwa kuvaa hijabu mwaka 2017. Kipindi icho marine alikuwa ni mgombea wa kiti cha uraisi nchini...
1 Reactions
3 Replies
553 Views
Mungu ibariki IDF kwa moyo wa huruma. Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Sa’ar, pamoja na mwenzake wa Cyprus, Constantinos Kombos, “wanaendelea kuwasiliana kwa karibu na mara kwa mara...
1 Reactions
6 Replies
499 Views
Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa...
11 Reactions
98 Replies
4K Views
Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom