International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Mbona kama tunaelekea kwenye WWIII? Whats going on? Siku ya Jumatano gazeti la New York Post limevujisha taarifa kuwa Ujerumani inajiandaa kupeleka askari wapatao 800,000 nchini Ukraine...
8 Reactions
111 Replies
6K Views
Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumanne, bila kutoa maelezo, kwamba makombora ya Patriot tayari yalikuwa yametumwa Ukraine chini ya utaratibu mpya wa utoaji. "Tayari wametumwa," Trump...
0 Reactions
6 Replies
705 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano na Posta Sudan imetangaza kufungia huduma za simu na video kupitia WhatsApp kuanzia Ijumaa, 25 Julai, ikidai sababu za kiusalama. Ujumbe wa maandishi na makundi...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Mamlaka nchini Côte d'Ivoire zimemhukumu muuguzi mmoja kifungo cha miaka mitatu jela kwa kutoa maoni yanayochukuliwa kuwa ya matusi dhidi ya Rais Alassane Ouattara kupitia mitandao ya kijamii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni mwenye jibu hili? Huku wakiwa hawana makazi,wala chakula na Dunia imekaa kimya?
3 Reactions
25 Replies
802 Views
Kiburi chote kwisha. Wamekubali sasa wapo tayari kuzungumza. Kabla ya kile kichapo walikuwa wanasema haitakuja kutokea wakazungumzia hilo suala. Wao wanajua kutengeneza tu. Zaidi na zaidi. Sasa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Nchini Mozambique, mwanasiasa wa upinzani Venancio Mondlane amefunguliwa mashtaka matano ya jinai, likiwemo la uchochezi wa ugaidi, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2024...
0 Reactions
7 Replies
868 Views
Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox baada ya kugunduliwa kisa kimoja kupitia mfumo wa uchunguzi wa kawaida. Ugonjwa huo, ambao ni dharura ya afya ya kimataifa, unazidi kuenea katika nchi...
0 Reactions
4 Replies
637 Views
BREAKING NEWS Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga...
21 Reactions
148 Replies
13K Views
VOICES FROM IRAN 'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out 2 hours ago Share Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages...
1 Reactions
10 Replies
774 Views
Mkuu wa baraza la ulinzi la Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi haitishwi na kauli ya raisi wa Marekani Donald Trump kuhusu vikwazo zaidi kwa nchi hiyo endapo itagoma kusaini mkataba wa kusitisha...
20 Reactions
48 Replies
3K Views
Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amemtuhumu Barack Obama kwa uhaini, akidai aliongoza njama ya kumhusisha na Urusi ili kuhujumu kampeni yake ya 2016, ingawa hakutoa ushahidi. Msemaji wa Obama alikana madai hayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kulingana na taarifa za kutoka kwenye mitandao ya kijamii, hasa X, Barack Obama anaonekana kuwa ana trend kutokana na madai yanayohusiana na uchunguzi wa jinai wa FBI yanayodaiwa kuwa yanahusiana...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Miaka zaidi ya themanini tangu utawala wa Adolf Hitler ulipoanzisha vita vya dunia na mauaji, kivuli cha historia ya Nazi kimeibuka tena, safari hii kutoka kwenye sehemu isiyotarajiwa, basement ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakazi wa eneo la machimbo ya dhahabu Lomera, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wamekuwa wakitumia mikono yao na vifaa vya kawaida kuwaokoa wachimbaji waliokwama chini ya ardhi...
0 Reactions
2 Replies
550 Views
For any employer or office in need of a worker or workers in any of these categories, please feel free to contact me. ‎ ‎1. Drivers (Private & Office Drivers ) ‎2. Cleaners (For homes and...
2 Reactions
0 Replies
244 Views
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na mshirika mkuu wa muungano wa...
1 Reactions
14 Replies
810 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa...
0 Reactions
9 Replies
797 Views
Back
Top Bottom