Mapigano yalipuka kati ya Cambodia na Thailand

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,868
Reaction score
27,274
Camboja na Thailand zipo kuchapana kutokana na mzozo wa muda mrefu wa mpaka, hasa kuhusu maeneo yaliyo karibu na mahekalu ya kale kama Preah Vihear, chanzo kikiwa ramani zenye utata zilizochorwa na Wafaransa mwaka 1907 wakati wa ukoloni.

Mvutano wao uliongezeka hivi karibuni baada ya askari mmoja wa Kambodia kuuawa mwezi Mei 2025, na kufuatiwa na mapigano ya leo yaliyohusisha risasi, makombora, na mashambulizi ya anga kutoka Thailand, ambapo watu wasiopungua 12 waliuawa, wengi wao wakiwa raia wa Thailand.

Nchi hizo zinalaumiana kwa kuanzisha mzozo huo, unaochochewa na hisia za utaifa na kutokukubaliana kuhusu mabomu ya ardhini na hatua za kijeshi.

Cambodia vs Thailand Military Comparison (2025)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni

Idadi ya Vifaru
Thailand: 635
Cambodia: 644

Ndege
Thailand: 493 (ikiwa na 28 F-16s, 11 Gripen jets)
Cambodia: 25 (10 za usafiri, hakuna za kivita)

Vifaru (Magari ya Kivita)
Thailand: 16,935
Cambodia: Data haipatikani

Idadi ya Wanajeshi
Thailand
: 606,850 (360,850 jeshi la nchi kavu)
Cambodia: 231,000 (221,000 jeshi la nchi kavu)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni
 
1753381731355.png

Hii hali siyo shwar
RAMANI
 
Camboja na Thailand zipo kuchapana kutokana na mzozo wa muda mrefu wa mpaka, hasa kuhusu maeneo yaliyo karibu na mahekalu ya kale kama Preah Vihear, chanzo kikiwa ramani zenye utata zilizochorwa na Wafaransa mwaka 1907 wakati wa ukoloni.

Mvutano wao uliongezeka hivi karibuni baada ya askari mmoja wa Kambodia kuuawa mwezi Mei 2025, na kufuatiwa na mapigano ya leo yaliyohusisha risasi, makombora, na mashambulizi ya anga kutoka Thailand, ambapo watu wasiopungua 12 waliuawa, wengi wao wakiwa raia wa Thailand.

Nchi hizo zinalaumiana kwa kuanzisha mzozo huo, unaochochewa na hisia za utaifa na kutokukubaliana kuhusu mabomu ya ardhini na hatua za kijeshi.

View attachment 3417099
Waache wasafishe maghala
 
Back
Top Bottom