International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu. Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi...
3 Reactions
23 Replies
683 Views
Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha...
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Julian Brown aka Nature jab mzaliwa wa Atlanta adai kugundua mashine inayoweza kubadilisha taka za plastiki kuwa petroli na diesel safi hajaonekana...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Urusi inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin. Amesema kombora "halipai juu sana, ni vigumu sana kulitambua...
2 Reactions
6 Replies
984 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025...
4 Reactions
3 Replies
567 Views
Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
2 Reactions
21 Replies
978 Views
Jeshi la Polisi Nchini India limemkamata mwanaume mmoja aitwaye Harsvardhan Jain, kwa tuhuma za kuanzisha Ubalozi feki ambapo amekodisha Jumba la Kifahari pamoja na Magari ya Kifahari na...
0 Reactions
7 Replies
730 Views
Mtu mmoja mwenye bastola alifyatua risasi nje ya kasino ya Grand Sierra Resort mjini Reno, Nevada siku ya Jumatatu Julai 28,2025 saa 1:30 asubuhi kwa saa za Marekani. Tukio hilo lilitokea katika...
2 Reactions
13 Replies
700 Views
"Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir. Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya...
1 Reactions
5 Replies
612 Views
Naam wakuu zile mbwembwe za Trump kujifanya na urafiki na Putin ilikuwa lengo lake kuu ni kuharibu uhusiano wa China na Russia. Trump alitaka kuitumia Russia kitenge china na kuhamia usuhuba wake...
7 Reactions
2 Replies
512 Views
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imewahukumu viongozi wawili wa kundi la waasi wa Kikristo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kwa makosa mbalimbali ya uhalifu wa kivita dhidi ya raia...
1 Reactions
8 Replies
597 Views
Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao. Lakini hii haiwezi na...
1 Reactions
18 Replies
694 Views
Hivi, Jafo anadhani watu kujizima data ba kutafuta maisha nchi za watu,wanakuwa wameacha mazuri kwao? Tanzania ni nchi kubwa,tajiri ukanda huu,na bado ina fursa kwa watu wengi. Wasaka tonge...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa." Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran...
2 Reactions
0 Replies
409 Views
Back
Top Bottom