Maafisa wa polisi huko Serbia, wamemuondosha waziri mkuu wa nchi hiyo Aleksandar Vucic na familia yake, hadi maeneo salama, baada ya kupatikana kwa idadi kubwa ya silaha karibu na nyumbani kwake...
Utafiti uliohusisha idadi ya watu 35000 umeonyesha kuwa 70% ya wamarekani walijitambulisha wao kama waumini wa dini ya kikristo, hali hii ni tofauti na ule utafiti wa mwaka 2007 ambapo ilionyesha...
Taarifa zilizopo ni kwamba kuna tetemeko kubwa LA 7.1 kwenye kipimo cha Ritcher limeikumba Italy Leo. Kuna thread iliwekwa Humu mwezi huu kwamba tutarajie uwepo wa matetemeko makubwa zaidi ya...
Tetemeko jingine limetokea nchini Italia ikiwa ni miezi miwili kabla ya kusahaulika tetemeko lililotokea mwezi Agosti lililoacha watu 300 wakiaga dunia. Mpaka sasa imeripotiwa watu kuuumia bila...
Jimmy carter anashangazwa kwa nini hillary anabebwa namna hii.FBI agent anasema kwa FBI director Kufanya hivi week moja kabla ya uchaguzi ni kitu very serious na Hillary anaweza hata Kama ni...
Nato haitafuti mzozo na Urusi wala haihitaji vita vingine baridi kwa mujibu wa katibu mkuu wa jumuiya hiyo, Jens Stoltenberg.
Stoltenberg anasema kuwa mipango ya kupeleka wanajeshi 4000 zaidi...
The Spanish government's announcement that is reviewing a request from Moscow to refuel the Russian flotilla heading for Syria is a welcome, if belated, gesture of solidarity with its Nato allies...
Bomu lililotegwa ndani ya gari, limelipuka na kuwauwa watu kadhaa katika mji wa Benghazi, nchini Libya.
Waliouwawa wanasemekana kuwa wanaharakati wa kisiasa wanaofahamika na wanaohusishwa na...
An Iranian Navy fleet has docked at Tanzania’s Port city of Dar es Salaam in line with the Islamic Republic’s strategy of expanding its naval presence in the high seas.
The 44th flotilla of the...
Umoja wa Mataifa umefanikisha kuachiliwa kwa watoto 876 wanaozuiliwa na wanajeshi wa Nigeria na vikosi vya usalama baada ya kuteka ardhi iliyokuwa ikikaliwa na Boko Haram.
Watoto hao wamekuwa...
Mwanaume nchini Chongqing China, alitumia paundi 18, 118 kukarabati nyumba akidhani ni yake, kumbe alikuwa amechanganyikiwa
Jamaa huyo alikuwa amenunua nyumba katika gorofa 40 ya jengo hilo...
Manowari za Urusi, ambazo zilikuwa zimetarajiwa kusimama Uhispania kuongeza hazina ya mafuta, hazitasimama nchini humo tena kutokana na wasiwasi wa mataifa wanachama wa Nato.
Urusi inaripotiwa...
Audio purportedly capturing director Michael Moore endorsing Donald Trump was taken out of context from Moore's latest film.
CLAIM: Michael Moore has endorsed Donald Trump for president...
MRITHI wa Mfalme wa Abu Dhabi na Kaimu Rais, Mohamed bin Zayed Al Nahyan ameahidi kuendelea kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo na Tanzania katika kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
Wanafunzi nchini Afrika Kusini wameendelea kuandamana na wametishia kufunga vyuo vikuu vyote nchini humo ili kupinga nyongeza ya karo na mpango wa kupunguza mikopo ya karo.
Vyama vya wanafunzi...
Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta imepata pigo kwa kugundulika zaidi ya shillingi Bilioni 5 pesa za kenya za Wizara ya Afya zimeibiwa. Kwa mjibu wa taarifa zilizopatikana jioni hii kampuni...
Kenyan man shot dead after stabbing guard at American embassy in Nairobi.
Last Updated Oct 27, 2016 12:59 PM
AP Photo/Moses Muoki
NAIROBI, Kenya -- A man was shot dead after stabbing a policeman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.