Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,371
- 100,421
Taarifa zilizopo ni kwamba kuna tetemeko kubwa LA 7.1 kwenye kipimo cha Ritcher limeikumba Italy Leo. Kuna thread iliwekwa Humu mwezi huu kwamba tutarajie uwepo wa matetemeko makubwa zaidi ya haya. Na kwamba litakua ni jambo LA kawaida. Huenda mambo yakawa mabaya zaidi.