NATO; hatutaki mzozo na Urusi...

NATO; hatutaki mzozo na Urusi...

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
_92123962_ca3f7c14-6dec-42c0-a186-b95c8e38e97e.jpg

Nato haitafuti mzozo na Urusi wala haihitaji vita vingine baridi kwa mujibu wa katibu mkuu wa jumuiya hiyo, Jens Stoltenberg.

Stoltenberg anasema kuwa mipango ya kupeleka wanajeshi 4000 zaidi mashariki mwa Ulaya ina lengo la kuzuia badala ya kuzua mzozo.

Licha ya kuwepo misukosuko, muungano wa Nato hautambui Urusi kuwa tisho.

Uhusiano kati ya nchi za magharibi na Urusi umekuwa mbaya zaidi tangu vimalizike vita baridi.

Marekani na Muungano wa Ulaya walikuwa wameiwekea Urusi vikwazo kufuatia hatua yake ya kuimega rasi ya Crimea mwaka 2014.

_92123964_f4edd5f9-62b1-42ac-aa7b-38b1e43addce.jpg

Vita ncchini syria navyo vimeluwa chanzo cha misukosuko, huku mataifa mnakubw ayaliilaju Urusi wa kuendsha uhalifu wa kivita inapioshgambualia ameneoa yanayodhibitiwa na uopiannai ikiisadia serijali.

Vikosi vya kimataifa vinavyo jumuisha wanajeshi 1000 katika kila kikosi vitapelekwa nchini Poland, Latvia na Lithuania mapema mwaka ujao.

Vikosi hivyo vitaongozwa na Marekani, Uingereza, Canada na Ujerumani.

Nato inasema inaamini kuwa Urusi ina takriban wanajeshi 330,000 walioa karibu na mashariki ya mpaka wake.

Mapema wiki hii mipango ya meli za kivita za Urusi kutia nanga katika bandari ya Uhispania ilivutwa baada ya washirika wa Nato kuelezea wasi wasi kuwa zitatumiwa kushambulia raia nchini Syria.

NATO; hatutaki mzozo na Urusi - BBC Swahili

Katibu mkuu wa NATO amesama majuzi kuwa NATO itatuma kikosi cha wanajeshi 4000 kwenda kwenye nchi zilizoko kwenye jumuia ambazo zinapakana Urusi ambazo ni Romania na Poland.
Uingereza nayo imesema itapeleka ndege za kivita wakati Marekani itapeleka vifaru na mizinga. And then wanasema hawataki mzozo na Urusi huo ni unafiki mkubwa this time Russia imewashika pabaya hawa NATO.
 
propaganda tu za western block hakuna vita hapo
 
Ameshapitisha meli yake pale British Channel na ameshapata alichokua anakijaribisha.
Sasa hivi atawenda kuweka parking ya meli zake pale, maana ni international waters.
I hope hapatakuwepo na wa kulalamikia kitendo hicho.
 
Ndo walivyo hao. Wanafiki sana. Putin awatandike tu.
 
Ameshapitisha meli yake pale British Channel na ameshapata alichokua anakijaribisha.
Sasa hivi atawenda kuweka parking ya meli zake pale, maana ni international waters.
I hope hapatakuwepo na wa kulalamikia kitendo hicho.
Ahahaha, Putin is very strategic. Hawa NATO walikuwa wamezoea kuwachezea sadam na ghadaf wakafikiri kla mtu boya.......LOL
 
Sio ya kushabikia hiyo si hakuna vita tuu matatizo ya Sukari sasa kukiwa na vita huko si balaa..
 
Back
Top Bottom