Jimmy carter anashangazwa kwa nini hillary anabebwa namna hii.FBI agent anasema kwa FBI director Kufanya hivi week moja kabla ya uchaguzi ni kitu very serious na Hillary anaweza hata Kama ni Rais.Pia umegundulika bibi mgonjwa kwenye hiyo laptop ya Anthony weiner.Hivi Hillary na yeye Anthony weiner ni mtu waku deal naye kweli .Uchaguzi wa mwaka Huu ni wastage of money