thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,866
- 4,854
Utafiti uliohusisha idadi ya watu 35000 umeonyesha kuwa 70% ya wamarekani walijitambulisha wao kama waumini wa dini ya kikristo, hali hii ni tofauti na ule utafiti wa mwaka 2007 ambapo ilionyesha 78% ya wamarekani walijitambulisha kama wakristo ikiwa ni kiwaongo cha kupungua kwa 1% kwa kila mwaka. Pew research center.
======
Idadi ya Waumini wa dini ya kikristo imeendelea kuonyesha kupungua kwa mujibu wa tafiti mbalimbali huko nchini USA ambako kuna idadi kubwa ya waumini wa dini hiyo hii ni kwa mujibu wa shirika la Pew Research Center.
Zaidi mabadiliko haya yameathiri karibu dini zote huko nchini marekani na kupungua kwa idadi ya watu wanaofuata dini imeonekana zaidi likitokea katika makundi ya vijana.
Marekani ni nchi ambayo ni nyumbani kwa wakristo wengi kuliko dini nyingine yoyote lakini kwa bahati mbaya idadi ya watu walio na umri wa miaka 18 na kuendelea wanaojitambulisha kama wakristo imeendelea kupungua.
Utafiti uliohusisha idadi ya watu 35000 umeonyesha kuwa 70% ya wamarekani walijitambulisha wao kama waumini wa dini ya kikristo, hali hii ni tofauti na ule utafiti wa mwaka 2007 ambapo ilionyesha 78% ya wamarekani walijitambulisha kama wakristo ikiwa ni kiwaongo cha kupungua kwa 1% kwa kila mwaka.
Kwa mujibu wa tafiti za shirika la FaithSurvey na lile la taasisi ya 2012 Millenia Value ilionyesha 47% ya waliohujuiwa kuhusu biblia walisema ni neno la mungu lakini haupaswi kutilia umakini kila neno la kitabu hiko wakati 16% walisema ni kitabu cha hadithi za kale kilichoandikwa na watu.
Tanzania na afrika kwa ujumla ni sehemu ambayo ina waumini wengi wa dini mbalimbali kitendo cha nchi kubwa kupungua kwa waumini linatoa taswira mbaya kwa nchi zinazoendelea ukizingatia utandawazi na vijana walio wengi wanapenda kuiga mambo na kundi linaloathirika
Viongozi wa dini na watu mbalimbali hawana budi kuchukua hatua za ziada ili kuwaepusha waumini wa dini zao wasitumbukie katika janga la kutoamini uwepo wa mungu wala dini yoyote kwani si swala zuri.
Source:
America’s Changing Religious Landscape
Faith Survey | USA: Religious Surveys