Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa na siraha ya moto (bunduki) alionekana katika mkutano wa kisiasa wa Donald Trump katika mji wa Reno!
Mtu huyo ambaye ni supporter wa Hillary alikuwa amepanga kumrushia...
China imeonyesha hadharani ndege zake mpya za kivita aina ya J-20 ambazo zina uwezo wa kujificha na kukosa kuonekana kwenye mitambo ya rada.
Ndege mbili za aina hiyo zilipaa angani kwa sekunde 60...
Mamlaka za Usalama nchini Marekani zimeanza uchunguzi wa uwezekano wa shambulio la kigaidi ambalo huenda likatokea kabla uchaguzi mkuu Jumanne wiki ijayo.
Inadaiwa kuwa shambulio hilo huenda...
Marehemu Tupac Omar (Amaru)Shakur
Kwa vijana wa siku za karibuni , hatujamsahau rapper Tupac Shakur na kibao chake cha zile mean streets za LA na ile Willd Wild West, California Love...
Image copyright HOPEWELL BAPTIST CHURCH
Polisi katika jimbo la Marekani la Mississippi wanasema wanachunguza uhalifu wa chuki baada ya Kanisa linalotumiwa na watu weusi kuteketezwa na kisha...
Serikali ya Italia imetangaza kuwa mateka watatu waliotekwa nyara nchini Libya mwezi Septemba, wameachiliwa huru na wamerudishwa nchini humo.
Wizara ya mambo ya nchi za nje, ilisema mateka hao...
Mfumo wa uchaguzi wa marekani hautoi nafasi kwa raia kuchagua Rais moja kwa moja, Bali kunakuwepo na wawakilishi wa vyama vilivyoshinda katika majimbo ambao hao ndio hupiga kura kumchagua Rais...
Baadhi ya Magari yaliyochukuliwa
Waendesha mashtaka kutoka Uswizi ambao wamekuwa wakifanya uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wametwaa magari 11 ya kifahari yaliyomilikiwa na mwana wa kiongozi wa...
Huku watu wengi wakiwa na uraibu wa mambo tofauti kama vile unywaji wa pombe, uvutaji sigara na mambo mengine, mwanamke amekiri ana uraibu wa kuzaa watoto wengi sana
Mwanamke huyo kutoka...
Wakati ule taifa letu (Marekani)litakapo ziacha kanuni za sheria yake kiasi cha kutunga shelia ya jumapili, kwa kitendo hiki uprotestanti utakuwa umeungana pamoja na upapa-5T712(1889)...
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu amechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuonyesha bango lililokuwa na maandishi ya kumtaka rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ajiuzulu
Bwana Mugabe alikuwa...
Serikali ya Burundi imetishia kuondoa askari wake wa kulinda amani nchini Somalia katika kikosi cha Umoja wa Afrika AMISOM iwapo umoja wa ulaya, mfadhili mkuu wa kikosi hicho, hauto rejelea uamuzi...
Hahah hii ni USA na siyo Kongo, Sudani au sijui Uganda! Where is the respect of the the so called will of the people? Nilifikiri chaguzi USA ni free and fair sasa kwa nini tunaona militias...
Wasalaam,
Shirika la Urusi la Irkut na Comac la uchina wamefanya maonyesho ya ndege ambazo nchi hizo mbili zinategemea kutengeneza. Mkataba wa makampuni hayo ulishasainiwa mwaka 2014 baina ya...
Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya umeingia dosari baada ya Mahakama Kuu nchini humo kuagiza isijitoe mpaka Bunge liidhinishe.
Serikali imesema itakata rufaa kupinga uamuzi huo...
Opinion #ForeignAffairsNOV 3, 2016
Richard Miniter ,
CONTRIBUTOR
I investigate foreign policy and national security issues.
Rwanda is one of the world’s smallest countries and one of its...
Economic hit are highly paid professionals who cheat countries around the globe out of trillions of dollars. They funnel money from World Bank, the U. S. Agency for International Development...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.