Marekani itapitisha sheria ya jumapili

Marekani itapitisha sheria ya jumapili

ant robbery

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
111
Reaction score
53
Wakati ule taifa letu (Marekani)litakapo ziacha kanuni za sheria yake kiasi cha kutunga shelia ya jumapili, kwa kitendo hiki uprotestanti utakuwa umeungana pamoja na upapa-5T712(1889)
Waprotestanti wataweka mvuto na uwezo wao wote katika upande wa upapa.Kwa tendo la kitaifa kushurutishwa sabato ya uongo wataihusisha na kuipa nguvu imani potofu ya Rumi, wakiamsha ukatili na ukandamizaji wake wa dhamiri -Mar179(1893).
Bado kitambo kidogo tu sheria za jumapili zitapitishwa.-RH Feb.16,1905.
Muda si mrefu Sheria za jumapili zitashurutisha,na watu wenye vyeo na uwezo watachukizwa dhidi ya kundi dogo la watu wa mungu wazichikao amri zake -4 MR 278(1909)
Unabii wa ufunuo 13 unaelezea kuwa mamlaka inayowakilishwa na mnyama mwenye pembe mfano wa mwanakondoo yatafanya "dunia na wakaao ndani yake " kuuabudu upapa ambao umeoneshwa hapo kwa mfano kama mnyama "afananae na chui "..... Unabii huu utatimilizwa wakati ule nchi ya Marekani itakapolazimishwa utunzwaji wa siku ya jumapili, ambayo Rumi huidai kuwa alama maalumu ya utambulisho wa ukuu wake.....
Upotovu wa kisiasa unaharibu moyo wa kupenda kutenda haki na kuujali ukweli na hata katika Amerika iliyo huru watawala na wabunge ,ili kutafuta kupendwa na Imma,watakubali kufuata matakwa ya walio wengi kwa ajili ya sheria ilazimishayo utunzaji wa jumapili .GC578,579, ,592(1911)
 
Ngoja nisubiri mdadavuo mana naona umeamua kuandika kama kile kitabu sijui mnayasema kwa mafumbo ili iweje..
 
Back
Top Bottom