FBI investigates 'possible' pre-election attack

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Mamlaka za Usalama nchini Marekani zimeanza uchunguzi wa uwezekano wa shambulio la kigaidi ambalo huenda likatokea kabla uchaguzi mkuu Jumanne wiki ijayo.

Inadaiwa kuwa shambulio hilo huenda likatokea katika majimbo ya New York, Virginia au Texas.
===================
As opinion polls suggest Donald Trump is gaining support, Hillary Clinton has been holding rallies in states that had been considered safe for the Democrats.

A BBC correspondent says both teams are now concentrating more on getting their supporters to vote, rather than swaying those undecided.

Thirty-seven million early ballots have already been cast.

US authorities say they are assessing the credibility of information on a possible al-Qaeda terror attack.

New York, Texas and Virginia are believed to be the potential targets mentioned in connection with a possible attack before election day on Tuesday, but a police spokesman said the information "lacks specificity".

Officials say they regularly assess all possible threats before major events.

News of a possible attack came as both Mrs Clinton and Mr Trump made final pushes for support in battleground states across the US.

They both held rallies in Ohio and Pennsylvania on Friday, two states that may prove crucial on Tuesday.

Both candidates are due to campaign in Florida today. The state is seen as a key contest that could tip the election.

Source: BBC
 
Wanapenda penda kutisha wanachi, sijui kwa nini!! Kwanza nani kawapa taarifa kuhusu mashambulizi siku chache kabla ya uchaguzi? Mi naona hizo ni mbinu za kutaka kujionyesha kwa wananchi kwamba wanafanya kazi.
 
Wanapenda penda kutisha wanachi, sijui kwa nini!! Kwanza nani kawapa taarifa kuhusu mashambulizi siku chache kabla ya uchaguzi? Mi naona hizo ni mbinu za kutaka kujionyesha kwa wananchi kwamba wanafanya kazi.
Hao watakuwa wanafanya ni mchezo
 
Hao watakuwa wanafanya ni mchezo

Mimi sikatai kila mgombea anataka ashinde uchaguzi, ninacho shindwa kuelewa katika uchanguzi wa safari hii huko Amerika ni hizi mbinu za kihuni, mtu unaweza kufikiri ni chaguzi za Banana Republics - wanataka kug'ang'aniza mtu ambaye anakubaliana na matakwa ya Establishment ndiye ashinde come rain or shine.

Kinacho shangaza zaidi ni hili la baadhi ya wapiga kura kutoshitukia mbinu za kihuni zinazo tumika kumpamba Hillary hilo awalioni kabisa!! - Wako radhi kumuweka madarakani binadamu ambaye anaweza kuanzisha WW3, mama huyo awajali ma Latino, Blacks na watu masikini ambao anawaita ni undisables - sijui kwa nini hawafatilii kauli zake anapokuwa kwenye mikutano ya ndani akiwa na matajili wa kizungu, wakajua undani wake.

Leo kwa mfano wame
mplant mtu kwenye mkutano/kampein ya ndani ya TRUMP, alipaza sauti kwamba kuna bunduki ili awatishe watu na Trump mwenyewe - it was a false alarm, lakini that was a well organised scheme walijua wahandishi wa habari watamfuata na kumuoji na nchi nzima itakuwa interested kujua nini kilitokea - jamaa huyo atatumia fulsa hiyo kumkandia TRUMP kwamba ni mtu mbaya, hatari apashwi kuchanguliwa mwishowe anajidai kwamba yeye ni wa chama cha TRUMP!!

Sasa kama jamaa huyo alikuwa hamtaki Trump si apige kura tu kulikuwepo na ulazima gani wa kuleta stunts ambazo kila mwanadamu mwenye akili timamu anajua lengo lake ni nini??

Kama Hillary anajiamini kwamba atashinda uchaguzi huu, kuna sababu gani ya yeye na wapambe wake kuendelea kujaribu kutumia Cowboy tacticts, mbona Trump afanyi mambo ya kijinga kama hayo.
 
Back
Top Bottom