Trump anachanja mbuga mbele ya Hillary

Huyu mbaba anapendewa nini naomba kujua, Sijuagi siasa..... Mbona huwa naona ana kauli chafu za kibaguzi sana dhidi ya watu weusi, naomba kueleweshwa.
 
Huyu mbaba anapendewa nini naomba kujua, Sijuagi siasa..... Mbona huwa naona ana kauli chafu za kibagudhi sana dhidi ya watu weusi, naomba kueleweshwa.
Ni mbaguzi ndio lakin kuna maneno mengine anayaongeaga ambayo huwa yanafichwa kwa blanketi la diplomasia. Ubaguzi ni mentality ya wazungu walio wengi sema iyodiplomasia huwa inawaficha so kapatika ambae hajali diplomasia yeye anamwaga tu ndo hapo watu wanapomkubalia... Kwa vyovyote vile hata kama akishinda bado hawezi fanya kinyume na Sera za kimarekani, hao akina mseveni anaowasema ni mbwembwe tu hawezi waondoa madarakani maana hawaizuiii chochote marekani.
Nisawa na Obama alivyo jinadi kuwa yeye hapendi vita katika uongozi wake marekani haitapeleka majeshi kupigana lakin nini kilichotokea Libya? Nini kinaendelea sylia? Ndo mujue hizo ni Sera za kimarekani pale inapoona masirahi yake yanaguswa.
 
Back
Top Bottom