Donald Trump 'Magufuli', kiongozi bora anayekuja duniani

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,456
Huyu mgombea wa Marekani bwana Trump ambaye nimempa jina la MAGUFULI sababu wana tabia zinazofanana kwa asilimia nyingi.

Huyu bwana wa Republic pamoja na mapungufu yake ila ni kiongozi bora kabisa sababu siyo mnafiki na anasema kweli tupu.

Waafrica ameshatuambia kuwa sisi ni wavivu zaidi tunaweza ngono na wizi hiyo ni kweli.. Hata mashoga kule kwao ameshawaambia watafute pa kwenda akiwa raisi... Waarabu kawambia wakatafute dunia nyingine ya kujitolea mhanga.

Viongozi wa kiafrika kawaambia waache kuibia masikini hela na kwenda kuzificha marekani akiwa rais amesema atalala nao mbele.

Mimi binafsi namkubali sana huyu MAGUFULI WA REPUBLIC sababu atatumbua majipu sugu ya dunia nzima huku MAGUFULI wa Tanzania akiendelea kutumbua majipu ya TANZANIA.

Tumuombee Trump ashinde.
 
Trump nadhani wamarekani hawatampa kura!
Tatizo linalokuja ni US is too diverse, wahamiaji wamekuwa wengi hivyo ni obvious hawatampa kura Trump, Trump atapata kura nyingi za native americans, ila pamoja na hawa bado pia kuna native americans upande wa democrats, hapa ndo kura za Trump zitakapopungua, ila sijui vizuri mfumo wao unavyofanya kazi, maana kuna maeneo yana watu wachache ila yana 'veto'. Sidhani kama wamarekani wangetengeneza mfumo ambao caucases zenye mexicans aka latins na blacks kuwa na 'veto', ila huko kusini caucases zina kura nzito ambako ndiko yunkies wakipo na wengini radical, binafsi napenda Trump ashinde!
 
Trump nadhani wamarekani hawatampa kura!
TATIZO LA WABONGO WAVIVU KUFUATILIA MAMBO CHEKI HAPA ANAVYOKIMBIZA MAREKANI
TRUM.PNG
 
Naomba usimdhalilishe donald trump kwa kumpa jina Hilo yaaani thats a disgrace there is no way wanafanana no damn way have some respect asee what a pity!!!!!!
 
Tatizo linalokuja ni US is too diverse, wahamiaji wamekuwa wengi hivyo ni obvious hawatampa kura Trump, Trump atapata kura nyingi za native americans, ila pamoja na hawa bado pia kuna native americans upande wa democrats, hapa ndo kura za Trump zitakapopungua, ila sijui vizuri mfumo wao unavyofanya kazi, maana kuna maeneo yana watu wachache ila yana 'veto'. Sidhani kama wamarekani wangetengeneza mfumo ambao caucases zenye mexicans aka latins na blacks kuwa na 'veto', ila huko kusini caucases zina kura nzito ambako ndiko yunkies wakipo na wengini radical, binafsi napenda Trump ashinde!
Chifu, unafahamu kuwa Marekani ni taifa la wahamiaji? Hao unaowaita native Americans (red Indians) hata hawana influence kwenye uchaguzi, kwa sababu idadi yao ni ndogo sana. Ukiwatoa Red Indians, waliobaki wote ni wahamiaji (caucasian, africans, latinos, chinese, indians).
 
Kila nikiifikiria hiyo kauli kwamba "Waafrika wanawaza ngono" inanichoma kweli,ila hamna namna acha tutukanwe tu coz kama simu moja ya mwanume au mwanamke wa kiafrika ukiasearh phone book utakuta kuna majina ya michepuko zaidi ya mitano,tutataka tuitweje sasa...watakatifu?

hahaaa,kabisa mkuu.hilo dongo la kuwaza ngono kuliko kufanya kazi kwa juhud limetugusa sana hasa sisi vijana wa kitanzania na Afrika kwa ujumla.
 
Watu wanaowaajiri wananchi wa South America hawatampa kura zao pia. Kiaina safari bado ndefu
 
Back
Top Bottom