serikali za ujeruman na Uingereza znapenda clinton ashnde so amna ajabu kwa state media zao kufanya hvyo mkuu, kuckia habari za trump labda uangalie Russian today maana wao serikali yao inampenda trumpKwanini mnaonyesha upendeleo wa wazi kabisa kumpendelea mgombea urais wa Marekani Hillary Clinton, je kwanini mnamuogopa Donald Trumph,Acheni upendeleo
Lazima mmoja ashinde na huo ndio ukweli mchungu..Ukweli upi sasa, kupendelewa au ?
Kwa nini mnapenda hii nchi iongozwe na mtu ambaye hakujiandaa kuwa rais hajawahi kusave public office hata Mara moja Tz urais ni muujiza unaweza kumpata yeyote ila US urais ni mpango ambao unawapata waliojiandaa na wakawa tested kwenye kusave national interestHivi hamna namna Trump akaja kugombea urais Tanzania? Hebu katiba yetu ya mwaka 1977 iache Roho mbaya.
Kwan yy anakupenda?Hiki kibibi mie sikipendi ata kidogo!