amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 464
Haaahah yaani Africa tulizidi kuwasemea marekani na tayari tulikuwa na rais wao wakati America ni ya kwao na maamuzi ni ya kwao wenzetu hawajaendeshwa na mihemuko wala mchecheto wanajua nani wanamuhitaji na kwa wakati gani hakuna maswala ya matokeo mkononi.
Sasa kwa nini tusijifunze na unafki wetu kwenye chaguzi zetu maana hatueleweki eleweki yaani na hatujui uchaguzi ni nini? Daaah what a election[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa kwa nini tusijifunze na unafki wetu kwenye chaguzi zetu maana hatueleweki eleweki yaani na hatujui uchaguzi ni nini? Daaah what a election[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]