Izc
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 546
- 368
Maandamano ya Wamarekani dhidi ya Trump yameingia siku ya tatu sasa. Maandamano hayo yanaonekana kuwa na dhima kuu 3:
1. Wengi wa waandamanaji hasa hawapingi ushindi wake ila wana hofu kuwa utekelezaji wa sera zake kama alivyohaidi wakati wa kampeni zitawaumiza. Hili liko dhahili kabisa, mfano
=>Trump na chama chake cha Republican wanapinga ndoa za jinsia moja na utoaji mimba. Kwa hiyo gays na lesbian wanaona kama utawala wa Trump utakuwa threat kwao.
=>Trump amehaidi kuwarudisha makwao wahamiaji haramu takribani milioni 2 tena ndani ya siku 100. Kwa hiyo pia wahamiaji haramu wanaona utawala wa Trump hautakuwa rafiki kwao.
2. Democrats naona wanataka kumwondolea attention ya ku-focus katika kuunda serikali imara. Wamegundua kuwa Trump anayapa uzito maneno ya kwenye mitandao na wakati mwingine ana-paniki kwa sababu ya tweets. Kwa hiyo wanafikiri kelele za maandamano zitampunguzia umakini na hivyo kushindwa kufocus sawasawa katika uundaji wa serikali kipindi hiki cha miezi miwili kabla ya kuapa.
3. Wapo pia wanaopinga mfumo wa electral colleges.
Tuna jambo la kujifunza katika maandamano haya kama taifa.
1.Pamoja na Trump kupinga ndoa za jinsia moja sijamsikia akisema wanaoandamana ni mashoga, wasagaji na watoa mimba ambao wanajua nitawashughulikia maana anajua madhara ya kauli zake katika mshikamano na umoja wa kitaifa.
2. Vyombo vya ulinzi vimeruhusu maandamano na kubaki kuwalinda raia na mali. Polisi wanajua kuwa ni haki ya Wamerekani kutoa maoni lakini pia ni haki yao kuandamana na katiba ni zaidi ya mamlaka zote. Lakini pia kitendo cha waandamanaji kutoa ya mioyoni mwao inawapa ku-releive na mwisho wa siku majeraha ya uchaguzi yatapona haraka.