Waasi watiifu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Riek Machar wanamshikilia ofisa wa Serikali Jimboni Liech, Kusini mwa nchi baada ya ndege ya kukodi kutoka Tanzania kutua kwenye ardhi ya waasi eneo la...
Picha: Kevin aliweka vipande vya nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza.
Mtu aliyeweka nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti nchini Uingereza amefariki...
Russia na Iran wanatarajia kuingia mkataba mwingine wa kuuziana silaha za kisasa zaidi zitakayoifanya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kulinda anga lake na bahari.
Kama kuna kitu kinapingwa na...
Mwanamke mmoja raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika amemsamehe mtu aliempiga na bilauri (glass) ya kunywe bia usoni baada ya kumsikia akongea kiswahili.
Asma Mohhamed Jama aliekua pamoja na...
South Africa is a major player in the global cannabis industry, producing a top strain — Durban Poison — and a significant portion of the continent’s supply, Cannabis Now reported.
Until now, the...
Ni abiria wengine wachache ndio walipaza sauti kutaka Abiria waliokua wakiongea kiarabu washushwe kwenye ndege ya shirika la ndege la Marekani liitwalo Delta ambapo Wahudumu wa ndege hiyo...
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.
Karla Jacinto...
Americans pick Obama over Trump as ‘most admired’ man in 2016 — and it’s not even close
David Edwards
28 Dec 2016 at 10:20 ET
AddThis Sharing Buttons
Share to...
Raisi Obama wa USA anayemaliza muda wake, aliyebakiza kama wiki 3 tu madarakani, ameamua kwa kutumia muda wake huu mfupi uliobakia kuiwekea nchi ya Urusi vikwazo vya kiuchumi kwa kosa ambalo yeye...
Sikukuu ya mwaka mpya yapigwa marufuku Korea Kaskazini
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amepiga marufuku sherehe za Krismasi na mwaka mpya kusherekewa nchini humo
Hata katika sherehe za...
Ipo scandal inaendelea sasa hivi Washington DC
Hii scandal inaitwa pizzagate. Inahusisha watu maarufu katika serikali.
Yaani watu wanaagiza pizza, kumbe wanaagiza watoto wadogo kufanya nao ngono...
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena zingine mbili za misaada ya kibinadamu katika mji wa Aleppo (Halab) uliokombolewa hivi karibuni kutoka mikononi mwa magaidi wakufurishaji.
Mkuu wa...
Mswada wa sheria mtandao nchini Thailand uliwekwa mezani kujadiliwa takriban wiki kadhaa zilizo pita.
Muswada huo ambao ulikua ukingoja kupitishwa kua sheria umepelekea kelele nyingi Nchini humo...
A Jet Airways plane carrying 161 passengers has crashed off a runway in Goa after smoke was seen in the cabin ahead of take-off from the the Indian holiday resort.
The Boeing 737 careered across...
SIKU chache baada ya Umoja wa Mataifa (UN) kupiga kura kulaani ujenzi wa makazi ya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi na Yerusalem Mashariki, Rais mteule wa Marekani, Donald Trump...
Wanajeshi 34 wa Uturuki walikamatwa katika mji mkuu Ankara kwa madai ya kuwa na mahusiano na imamu wa Kiislamu Fethullah Gulen, ambae serikali inamlaumu kwa jaribio la mapinduzi mwezi Julai tarehe...
Aisee katika majamaa manyang'au huyu ni namba kwenye zama zetu,
Leo kwenye mahojiano na gazeti moja la nchi hiyo amejisifia kwamba aliwahi kumtupa mhalifu wa utekaji kutoka kwenye helikopta iliyo...
Kerry defends US decision not to veto UN condemnation of Israeli settlements
US secretary of state pushes two-state solution and criticises Netanyahu in toughest remarks on Israel by a US...